Nitajie jina la lotion maalumu kwa kuondoa nywele kwapani bila kunyoa

Kuna siku nilitumia moja( siikumbuki jina) kunyolea nywele za southern hemisphere.. aisee... ilibaki kama miezi sita hivi nywele haikuota hata moja.. baadae ndo zikaanza tena kuota, niliogopa hadi nikaanza kusema i need my nanihii back... sitaki hata kuzisikia tena
Hahahahahaaaa you made my day
 
chonde chonde waungwana, msipake hayo ma cream kwenye sehemu zenu za siri na hata wenyewe wameandika tatizo letu hatupendi kusoma maelekezo ya bidhaa, tunatumia tu kwa kua fulani anatumia.

Pitisha wembe wako ni njia salama kabisa.
Ndio maana ma cancer yanazidi siku hizi.
 
Back
Top Bottom