Nitaipataje chanel ya Mbc bollywood ?

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
2,114
1,485
Wakuu naomba anaefahamu sattelite ya hii chanel anifahamishe hapa niweze kuiwinda manake ina movie nzuri sana, Natanguliza shukrani.
 
msaada tafadhali,, je kuna njia yeyote ya kuzbadlisha subtitle kutoka kiarabu mpaka kuwa kiingereza?!?
 
msaada tafadhali,, je kuna njia yeyote ya kuzbadlisha subtitle kutoka kiarabu mpaka kuwa kiingereza?!?
Huwezi mkuu hiyo channel imewekwa kwa ajili ya watu wa mashariki ya kati Ndio maana subtitle yao inakuja Arabic
 
Mkuu leo jioni nimejaribu kuitafuta nikaipata Nilesat kwa ku band ila sijaona hata mbc moja vipi zipo c band?
 
Back
Top Bottom