Nitahakikisha Matajiri wanaishi kama Mashetani, Mnaolalamika Biashara Mbaya mmesahau Kama ninyi ni Matajiri?

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Tajiri ni Yule mwenye uwezo, Una duka lako wewe ni Tajiri, Una Genge wewe ni Tajiri, Una duka la Nguo wewe ni Tajiri, Una kiwanda wewe ni Tajiri, sasa kwa Hali hii tunayoenda nayo mpaka wote mfunge magenge yenu na Maduka yenu ili twende Sawa,

Ooo Bank imefilisika
Ooo Pride inakufa
Oooo Viwanda vinafungwa, kumbukeni ninyi ni Matajiri.

Tutanyooka tu,
Tajiri akifirisika Masikini inakuwaje?
Huwezi kuwa Tajiri Kwa kufanya Tajiri kuwa Masikini
 
hahahahahaaaaaaaaaaaaaa

tanzania masikini wana bifu na matajiri utazani ndio walio waloga kuwa masikin

utasikia safi raisi kamtumbua manji atakura daga...........

mwisho wa siku unapata nn baada ya mwenzio kuwa masikini?
 
Hiyo jeuri ni kwasababu tunawalipa kodi kama vimitaji vyetu vikifa tutaona kodi mtakusanya wapi, mnakata tawi wakati mmelikalia.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom