Nitafute kwa biashara ya Kuku wa mayai wa kufuga mkoani Arusha

Habari zenu wana JF. Natumai ni wazima wa Afya kwa wale wagonjwa mwenyezi mungu aweze kuwaponya na kuwapa nguvu kama zamani.

Nilikuwa naomba msaada wenu mimi kama kijana mwenye uchu wa maendeleo na ninayependa kujikwamua kiuchumi.
Nipo arusha na nina project yangu nimeindaa ya ufugaji wa kuku wa mayai (Broiler) kwa Biashara mwisho wa mwaka.

*Mtaji wa kuweza kuanza nao ni kama shingapi
*Upatikanaji wa masoko
*Suala la chanjo
*Mabanda yanakuaje
*Pia changamato za biashara hii.

Naomba kupata mchanganuo wenu wana JF wenye uzoefu na biashara hii ya ufugaji wa kuku wa mayai
 
Back
Top Bottom