Nitafurahi Kilimanjaro Stars wakipandishwa kwenye lori kurudi nyumbani baada ya mechi ya mwisho, wametuaibisha mno!

G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,335
5,184
Si Utani wameniboa ile mbaya kama mtanzania mzalendo. Kiwango chao walichonacho ni tofauti na wachezaji wote wanaoshiriki hii michezo, Kwa kuwa wamefanya maksudi kutuaibisha, heshima yao ni kuwarudisha kwa usafiri wa lori na siyo ndege. Itapendeza zaidi
 
Si Utani wameniboa ile mbaya kama mtanzania mzalendo. kiwango chao walichonacho ni tofauti na wachezaji wote wanaoshiriki hii michezo, Kwa kuwa wamefanya maksudi kutuaibisha, heshima yao ni kuwarudisha kwa usafiri wa lori na siyo ndege. Itapendeza zaidi
Kweliiiii kabisaaa
 
Wakati wengine wanakosa hata nauli ya usafiri kushirika mashindano ya michezo na serikali ipo ipo tu haisaidii vyama na vilabu vya michezo sasa ifikie wakati serikali itoe vipaumbele kwa michezo yote I love Tanzania I love sports
 
Hamna kitu mle zaidi ya kupambana magazetini tu. Zanzibar waliliona hilo wakawaacha wanaojiona masta kibao kama agrey moris, canvaro nk. Saivi mechi 2 point 6 na kandanda la kuvutia kwa vijana wasio hata na majini ukizingatia walisafiri kwa basi.
 
Back
Top Bottom