Raiamwematz
Senior Member
- May 9, 2012
- 104
- 28
Kwenye facebook page yangu, nilihama toka classic kwenda timeline page. Sasa hii timeline mimi sijaipenda, natamani nirudi huko nyuma, je nafanyeje?? naombeni msaada hapa wataalamu.
duh jamaa naona umeamua kumkomoa loh!