WAKUNJOMBE
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 609
- 618
Mkuu ya wizi nini??NISSANI MURANO ipo sokoni kwa Tzs 18,000,000
Ipo tanga
Ipo na hali nzuri kabisa
Inatembea vizuri kabisa
Kwa taarifa zaidi whatsapp 0713890887
Aah jamani mpaka mapovuWee mpumbafu,wewe unafikiri 18m in hela ndogo,Japan hadi dollars 2000 unapata,
Matusi ya nini sasa?Wee mpumbafu,wewe unafikiri 18m in hela ndogo,Japan hadi dollars 2000 unapata,
Nikununulie?Ngoj wanunuz waje
Sasa povu la nn mzee,huna mpunga kaa kimyaaAah jamani mpaka mapovu
Matusi ya nini sasa?
Ndio nimemshangaa jamaa hapo juuSasa povu la nn mzee,huna mpunga kaa kimyaa
Atakuwa zuzu tu huyooUkiona matusi ujue kuwa no mpunga hapoo
HahahaNikununulie?
Wee mpumbafu,wewe unafikiri 18m in hela ndogo,Japan hadi dollars 2000 unapata,