Nissan xtrail old model

raky

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
206
32
Nna Nissan xtrai old model IPO kwenye good condition haijatumiwa sana ukiiona kama mpya kabsa bei 13 m,
 
Ndugu yangu najarbu kuattach pictures but nashindwa cmu I think ina tatizo
 
Kaa kimya mpaka utakapo weza unatarajia mtu akupe 13m kama hujamkomvince kwa picha ,na specifikacttin zote?
 
Old model ndio za mwaka gani? Weka specs zote bingwa! Vitu hiv ni muhimu sana ktk uuzaji
1.Year of manufacture 2001 etc
2.Date of first registration in tanzania pia weka na namba mbili za mwanzo eg T BCR *** au T CDM ***
3.Rangi eg silver,Red,Pearl white
4.Odometer eg 90,730km
 
Back
Top Bottom