Car4Sale Nissan Teana inauzwa. Ipo kwenye hali nzuri

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,312
2,000
Wakuu naamini mpo salama,

Kwa anayehitaji kununua usafiri wake, nipo na Nissan Teana nzuri na nzima, nauza. Gari limesajiliwa Tanzania kwa usajili wa DMK

DETAILS
MakeNissan
ModelTeana
Manufacturing Year2007
Engine Capacity2340 cc
Fuel TypePetrol
TransmissionAutomatic
ColorBlack
Seat Capacity5
SteeringRight
Forg LightYes
Jack na Wheel SpannerYes
Spare TyreYes
Radio/Bluetooth/CDYes

Napatikana Dar es Salaam.

Gari nauza kwa Tsh. Milioni 10.

Karibu tufanye biashara. Kwa mawasiliano, nitumie PM.

0926AD6F-518E-4886-B7F2-9B0972996A9A.jpeg
 
bhachu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
7,197
2,000
Wakuu naamini mpo salama,

Kwa anayehitaji kununua usafiri wake, nipo na Nissan Teana nzuri na nzima, nauza. Gari limesajiliwa Tanzania kwa usajili wa DMK

DETAILS
MakeNissan
ModelTeana
Manufacturing Year2007
Engine Capacity2340 cc
Fuel TypePetrol
TransmissionAutomatic
ColorBlack
Seat Capacity5
SteeringRight
Forg LightYes
Jack na Wheel SpannerYes
Spare TyreYes
Radio/Bluetooth/CDYes

Napatikana Dar es Salaam.

Gari nauza kwa Tsh. Milioni 10.

Karibu tufanye biashara. Kwa mawasiliano, nitumie PM.

View attachment 2004724

Crhombo imesimama, Tatizo Mtonyo!
 
namanga-kitonga

JF-Expert Member
Feb 4, 2020
284
500
Wakuu naamini mpo salama,

Kwa anayehitaji kununua usafiri wake, nipo na Nissan Teana nzuri na nzima, nauza. Gari limesajiliwa Tanzania kwa usajili wa DMK

DETAILS
MakeNissan
ModelTeana
Manufacturing Year2007
Engine Capacity 2340 cc
Fuel TypePetrol
Transmission Automatic
ColorBlack
Seat Capacity5
SteeringRight
Forg Light Yes
Jack na Wheel SpannerYes
Spare TyreYes
Radio/Bluetooth/CDYes

Napatikana Dar es Salaam. Gari nauza kwa Tsh. Milioni 10.

Karibu tufanye biashara. Kwa mawasiliano, nitumie PM.

View attachment 2004724
Sina hamu na hizi gari za kuchukua mikononi mwa watu. Jana nimekoswa koswa kuingizwa mkenge

Gari nzuri sana kumbe ilikuwa imekula mzinga mpaka rejeta nk hafai. Imepelekwa gereji imetoka mpya.

Aliyenishtua ni fundi. Baada ya kufuatilia ni kweli. Nilimpa elfu 30 kama asante.

Bora kuagiza, au ukishindwa zama shooruum kwa kuambatana na fundi mzoefu.

Umakini ni muhimu sana wadau.

Mleta uzi, sijasema gari yako ni kama dizaini hizo.
 
Ni kweli kuna watu wapo na magari ya namna hiyo na wanachukulia watu advantage.

Uzuri hili tukikubaliana unaweza kuja na fundi wako unayemuamini akachunguza hadi yeye na wewe mridhike.
 
blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,710
2,000
Wakuu naamini mpo salama,

Kwa anayehitaji kununua usafiri wake, nipo na Nissan Teana nzuri na nzima, nauza. Gari limesajiliwa Tanzania kwa usajili wa DMK

DETAILS
MakeNissan
ModelTeana
Manufacturing Year2007
Engine Capacity2340 cc
Fuel TypePetrol
TransmissionAutomatic
ColorBlack
Seat Capacity5
SteeringRight
Forg LightYes
Jack na Wheel SpannerYes
Spare TyreYes
Radio/Bluetooth/CDYes

Napatikana Dar es Salaam.

Gari nauza kwa Tsh. Milioni 10.

Karibu tufanye biashara. Kwa mawasiliano, nitumie PM.

View attachment 2004724
Teana ugonjwa wa moyo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom