wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,226
- 37,538
Nani alikwambia zinafanana mkuu?Sifa zao zinafanana mkuu japo y61 ni toleo baada ya y60
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alikwambia zinafanana mkuu?Sifa zao zinafanana mkuu japo y61 ni toleo baada ya y60
Nilikuwa nasubir comment Toka team cruiser lakin tendeni haki hapo lc ilipigwa fimbo y60 kama ni nyota imeeizid 80 seriers1HD-FTE ndo habari yenyewe hapo huyo TD42 hamna kitu! Makelele mengi ila haitembei kama 80 series plus the handsome looks za 80 series ni nyoukouw
Kwako tu mkuu ila kwangu mie 80 series anydayNilikuwa nasubir comment Toka team cruiser lakin tendeni haki hapo lc ilipigwa fimbo y60 kama ni nyota imeeizid 80 seriers
Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
Team cruiser ni watu wapenda sifa sana both are best edition from each make ( Toyota and Nissan ) but Kwa uchambuzi wa 4x4 wa Australia walikili kuwa y60 zenye td42 na tb42 ni hardcore though Kwa rival wake Kuna vitu engine especially td42 inazidiwa na 1HZ-J 4.2l sana kwenye acceleration
Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
80 siriz ....alwaysIpi nzuri ya kuchukua ukizingatia
1: matumiz ya mafuta ( diesel)
2: comfortable safarini
3: uvumilivu View attachment 1893560View attachment 1893561