Nissan patrol(black panther)

Hata wewe hizo unadhani ni sababu za msingi kwako kwa mwingine hazina mashiko.
Kwa ufupi nimepata neema ya kutumia Nissans, Toyotas, Isuzus, Landrovers, suzuki nk zote zikiwa models mbalimbali mpyaaaa. Na performance ya Nissan haikuniridhisha kabisa.
Nikikwambia utaje sababu ya msingi sidhani km utakuwa nayo zaidi ya kufata mkumbo kwa kusema spea zake ghari
 
bila shaka hizo nissan zako ulikuwa huzitendei haki kwenye service...pengine ulikuwa unafanya service zenye ubora wa chini...
Hata wewe hizo unadhani ni sababu za msingi kwako kwa mwingine hazina mashiko.
Kwa ufupi nimepata neema ya kutumia Nissans, Toyotas, Isuzus, Landrovers, suzuki nk zote zikiwa models mbalimbali mpyaaaa. Na performance ya Nissan haikuniridhisha kabisa.
 
Ukipata huu mnyama, ni noma ukiwa nao high way...
Tulitoka Ubungo mida ya saa sita kwenda Arusha, wenzangu walitangulia na huu mnyama, mie nilikuwa na mwingine kwa nyuma.
Basi wao wakawa hawajanielewa uwezo wangu wanaenda taratibu taratibu. Mie nikawa nawaambie ngoja tufike Chalinze niwaoneshe maujuzi.
Basi tulipovuka mzani pale Chalinze hawakuamini walichokiona. Mara mia arobaini, mara mia hamsini... Duh, yani tulitumia kama masaa saba-nane hivi kufika Arusha... Hii chombo ni balaa sana ukiwa highway...

View attachment 1096423
Hata ukitumia Dar express saa saba saa nane una ingia arusha...
 
Nissan Patrol Y60 na Y61 zenye injini za TB42,TB45 na TB48 hizi ni kwa wapenda mbio. Hii TB48 ndio ina balaa kwa mbio sema kwenye mafuta haina urafiki sana.

TB48 hii mashine mzungu na gari zake za kisasa hamuwezi.
Hii ndio inaitwa Monster kutokana na urahisi wa kufanyiwa modifications na kufika 2000hp.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom