Nissan patrol(black panther)

Kelele tu hamna mwendo humo:D:D:D:D
Mashine iko car wash

Ova
20190515_182653.jpg
 
OK poa mkuu,natumia Noah nataka ni update to either Nissan x_trail ,Subaru forester Toleo la kuanzia 2008,au patrol,
Chukua forestar mkuu, ni gari nzuri sana na kama si mapenzi wa mbio chukua non turbo, utaenjoy sana kwan aina mgonjwa na ulaji wa mafuta ni WA kawaida sana
 
Nipo na nissan patrol y61 hiki chombo ni nyoko, ni chombo ya kazi..
Yote 9 inaunguruma kiume saana, huwa najikuta naiacha iungurume niisikilizie..

Sasa hivi vyuma vimekaza natamani niiweke sokoni lakini nafsi inanigomea.

Niko njia panda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom