Nissan patrol(black panther)

Mi nilikua nayachukulia poa sana haya madude kuna moja lilikua la NGo flani walitaka kuniuzia kwa milioni 17 nikachomoa yalikua haya new model kama ya usalama nikajua litanizingua manake safari zangu za mbwinde huwa nataka gari ya kazi

Mzuri ila mm siyapendi hayana speed basi ila kwa offload ni mazuri
 
Kufa kwa ahadi bwana wewe, hata uwe na bettle siku ikifika umefika.
You are right..
Lakini imagine unasikia msela mwenye miaka 28 mfano alikuwa anaendesha passo 160 kph akaparamia uvungu wa fusso....

Hicho kifo ni cha kizembe..
Ahadi ya Mungu ni miaka 70 mapak 80

Takwimu za haraka haraka zinaonyesha kila private car 10 zinazopata ajali, 9 zinaendeshwa na vijana na kisababishi ni mwendokasi..
Anyway tumetoka nje ya mada lakini tunapeana tu ushauri.
 
Ni kweli lakini mimi bado naamini mtu ufa kwa ahadi, ndio maana ukienda hospital utapata takwimu za wanaokufa kwa malaria, tb, wanaokufa tu gafla, ajali, watoto tu wanazaliwa na kufa. Though you have a point, i can't ignore in anyway.
 
Nice challenge..
Lakini mwisho wa siku vijana tukumbushane mwendo kasi ni sababu moja wapo ya sababu kuu zinazotupeleka kaburini mapema..

they say, if you drive below 100 kph, you are more likely to survive on car accident than driving above 100 kph..

Turudi kwenye mada sasa..
Binafsi nissan patrol nazipenda sana regardless speed
 
Mimi kwakuwa labda natumia 1KD engine turbo diesel ndio maana nakuwa mgumu sana kupenda nisani. Ila ile patrol au safari model ya 2010 to 2013 nazipenda sana.
 
Ukipata huu mnyama, ni noma ukiwa nao high way...
Tulitoka Ubungo mida ya saa sita kwenda Arusha, wenzangu walitangulia na huu mnyama, mie nilikuwa na mwingine kwa nyuma.
Basi wao wakawa hawajanielewa uwezo wangu wanaenda taratibu taratibu. Mie nikawa nawaambie ngoja tufike Chalinze niwaoneshe maujuzi.
Basi tulipovuka mzani pale Chalinze hawakuamini walichokiona. Mara mia arobaini, mara mia hamsini... Duh, yani tulitumia kama masaa saba-nane hivi kufika Arusha... Hii chombo ni balaa sana ukiwa highway...

View attachment 1096423
Masaa 7 kufika arusha?

Hata mke wangu ambaye ni lena anafika kabla ya huo muda.

Huo muda ni wa kufika mbeya au mwanza.

Nilitegemea uniambie masaa 3 au 4.

Arusha karibu sana.
 
Masaa 7 kufika arusha?

Hata mke wangu ambaye ni lena anafika kabla ya huo muda.

Huo muda ni wa kufika mbeya au mwanza.

Nilitegemea uniambie masaa 3 au 4.

Arusha karibu sana.
are you serious??
Unatudanganya...

Umbali wa Arusha to Dar ni wastani wa km 640 kupitia bagamoyo...chalinze ni 670 kama sikosei...
Chukua km 670 gawanya kwa masaa 3 uliyosema...
nadhani jibu ni 223.333...
Hii inamaana kwamba ili dereva atumie masaa 3 safari ya Dar to Arusha ni lazima dereva huyo aendeshe mwendo wa 223kph bila kusimama popote wala bila kupunguza mwendo.
Hata msafara wa raisi hauendi mwendo huo.

Kwa matuta yaliyopo, tochi, kusimama kuchimba dawa na kula, milima, kona na kuzingatia usalama wako na watu wengine wanaotumia barabara, Arusha to Dar masaa 7 mpaka 8 ni reasonable kabisaa.
Usiku masaa 5 mpaka 6
 
Hahah tulikua tunapewa 'chai' kiaina maana 220km/h labda kama huyu mwana ana 'autobahn' yake hapa bongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom