Nissan hardbody inauzwaa

john zait

New Member
Dec 24, 2012
4
0
nissan hardbody ipo katika hali nzuri kabisa,ni double cabin na rangi ni nyekundu.bei ni millioni 12.
Tuwasiliane kwa 0714-943684
 
Ni mali ya nani?maana mara friji,rav4 sasa nissan.Picha hakuna,unaendesha mambo yako kihuni huuuuuuuni.
 
Weka na detals za hiyo gari kama mwaka, diesel/petrol, km ilzotembea nk. na bila kusahau picha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom