Nissan dualis

ndeto

Member
Oct 8, 2019
86
101
wadau naomba mwenye gari hii nissan dualis anipe uzoefu wake nataka kuinunua
 
Dualis naielewa kwelikweli Kwangu Mimi naona haina haja ya kuumiza kichwa kuhusu hiyo gari ni Bora uvute tu
 
Nasikia Ni kichomi
Kama huna hela....na usipozingatia masharti ya service kuanzia recommended engine oil, oil filter, transmission fluid, spark plugs, air filter na coolant lazima utaiona ni kichomi....
Ukizingatia taratibu, Nissan ni miongoni mwa magari mazuri na unakaa muda mrefu bila kutembelea garage..
 
Hapo kwenye service ndo wengi wamiliki wa magari wanapokwama hasa kwenye oil, na oil filter wengi wao wanaharibu magari yao wenyewe kwa kutokufuata kile kilichoshauriwa na watengenezaji badala yake wanafuata kile ambacho wanaambiwa na mafund wa miembeni mwisho wake wanaua gari Na kuanza kulalamika hovyo
 
Unakuta mtu amenunua Nissan labda X trail halafu anaweka Engine oil ya kupima au ikipungua anaongezea.....

Mwisho wa siku anakuja na recommendations za jumla kuwa Nissan zinasumbua...

Mtu ananunua gari milion 14, anakuwa bahili kuweka oil nzuri ya angalau 60k, filter labda 15k....ni ukichaa.

Back
Top Bottom