Nissan hawakosei kama ToyotaNasikia Ni kichomi
Kama huna hela....na usipozingatia masharti ya service kuanzia recommended engine oil, oil filter, transmission fluid, spark plugs, air filter na coolant lazima utaiona ni kichomi....Nasikia Ni kichomi
Hapo kwenye service ndo wengi wamiliki wa magari wanapokwama hasa kwenye oil, na oil filter wengi wao wanaharibu magari yao wenyewe kwa kutokufuata kile kilichoshauriwa na watengenezaji badala yake wanafuata kile ambacho wanaambiwa na mafund wa miembeni mwisho wake wanaua gari Na kuanza kulalamika hovyoKama huna hela....na usipozingatia masharti ya service kuanzia recommended engine oil, oil filter, transmission fluid, spark plugs, air filter na coolant lazima utaiona ni kichomi....
Ukizingatia taratibu, Nissan ni miongoni mwa magari mazuri na unakaa muda mrefu bila kutembelea garage..
Hapo kwenye service ndo wengi wamiliki wa magari wanapokwama hasa kwenye oil, na oil filter wengi wao wanaharibu magari yao wenyewe kwa kutokufuata kile kilichoshauriwa na watengenezaji badala yake wanafuata kile ambacho wanaambiwa na mafund wa miembeni mwisho wake wanaua gari Na kuanza kulalamika hovyo