Nissan caravan qd32 imported january 2014 inauzwa

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,539
755
Ninauza nissan caravan used japan, imported to tanzania january 06 2014.
Spesificatins:

Make: Nissan
model:caravan
model number: Vwe24
body type: Van body
colour: White
year man. 1997
eng. No: Qd32003179
fuel: Diesel
trans: At
odometer: 168,109.
Reg. No: T...cst

minimum price 15.5m,
gari itahitaji kulipia sumatra tu 40,000/= unaaingiza barabarani, haijafanya kazi hapa tanzania.
 
Ukisema tu unauza Gari itakuwa ngum sana kupata wateja hasa kwa aina hiyo ya Gari.
Weka Picha humu,ili tuithaminishe na hope utapata mteja tu
Wengi wanaoweka picha za gari humu wanauza kwa wepesi sana
 
Back
Top Bottom