Nominee
JF-Expert Member
- Sep 5, 2017
- 459
- 1,240
- Thread starter
- #101
Nakushukuru sana mkuu.Mungu akubaliki.Nitafanyia kazi ushauri wako.Tatizo unauliza wrong people..mbona hackers JF wapo wengi tatzo we ni beginner Sana ndoman hata kukujibu wanaona uvivu..ngoja mm nikupe mwongozo kidogo naona Kama una kauserious kidogo.
kwanza ujue hii field ya Cybersecurity ni pana sana na ina mamb mengiii
.penetration testing
.Incident Response
.Forensics
.Crptography
.secure network,secure Database ect.
**Bug hunting
unaweza kuchagua kubobea kwenye category moja..na mara nying wengi wanaoingia kwenye field hii huanza na foundation kwanza ambayo ni Diploma au Degree katika IT,ICT,Cs,CE baada ya hapo ndio unajifunza category mojawapo kati ya hizo ..au unaweza kujifunza kwa kuchukua Degree ya cybersecurity wacheki UDOm na wengine.
kwa mujib wa maelezo yako ww unahitji tu kuwa bug hunter yaan upige pesa kwa kugundua bugs kwenye apps hii ni simple tu hautaji kuwa expert wala degree holder wa IT,CS,ICT ect..wacheki hawa hackerone.com au bugcrouwd.com.
watakupa tutorials za kusoma ila ni lazma ujifunze programing.