NISIPOMWONA KAZI HAZIENDI kwa mke je?

Hivi kwa mfano ukisikia kuwa huyo mkeo anatafuta mwanaume wa pembeni amridhishe kimapenzi wewe ungejisikiaje?
kama jibu sitakubali basi ujuwe huna haki ya kuanzisha mahusiano na huyo kimada. Lazima tuwahurumie na kuwatunzia heshima wake zetu kwani wanatufanyia mengi sana kwa mapenzi yao juu yetu.
Angalizo:
tusisahau hawa viumbe wana mioyo kama sisi ambayo inauma pale inapochomwa na kuachwa ikiuguza majeraha makubwa.
 
Aisee mimi sio mtaalam ila naona hiyo kitu unataka kufanya haijakaa njema chalii.
Mapenzi hayana siri halafu huo mgogoro wako na mkeo ni wa mpito tu.
Naona kama vile unatafuta pumziko nje.
Rudi kwa wife upesi kabla shetani hajaamka.
 
Dah mkuu umekuwa sentimental hadi umenitoa uchozi, jama uchozi, uchozi........uchoziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Nalia miye jama kwa nini lakini tunachakachua nje hali tumeoa bila kulazimishwa????!!!!!!!!! Jamani tuwahurumie viumbe hawa wa Mungu na tujihurumie sisi wenyewe.............Jamani jamani leo nimetolewa uchozi na kiibodi.
 
Mimi kusema ukweli hata sikushauli kulandana na huyo mfanyakazi mwezio. Wewe umeoa na matatizo ndani ya ndoa nikitu cha kawaida kwa hiyo for the sake of GOD pls go back to your wife and try to talk to her, i hope mungu atakusaidia, achana na upuuzi huo unaoufikiria je kama hiyo situation ndio mke wako anataka kufanya ungefurahi? Achana na hayo mambo kumbuka siku ya ndoa uliapa nini mbele ya mungu na kadamnasi. Kama hiyo tabia ndio unaanza nakushauri acha na mungu atakubarika
 
Aisee mimi sio mtaalam ila naona hiyo kitu unataka kufanya haijakaa njema chalii.
Mapenzi hayana siri halafu huo mgogoro wako na mkeo ni wa mpito tu.
Naona kama vile unatafuta pumziko nje.
Rudi kwa wife upesi kabla shetani hajaamka.
Aisee inavyoonekana shetani alishaamka muda mwingi sana hapa. Inabidi jamaa afanye kazi ya ziada kumtawanya huyu mdudu shetani.........achana na kitu utamu bana especially kinapokuwa accessible asikwambie mutuuuuuu.
We husninyo hujambo lakini..........Unajua nimeanza kutamani kulipa maana yake jina langu kwako......unasemaje sasa?
 
Kama mchangiaji wa kwanza katika hii mada yako naweza kukueleza tu kuwa unataka kuanza uhuni sasa, kwa nini usikae chini na mkeo mkazungumza tofauti zenu kabla ya kumfikiria huyo mwingine?....Nitaendelea kuwepo.......

Umesema vyema Paka M, hajashtuka kama shetani anamvizia
 
Aisee mimi sio mtaalam ila naona hiyo kitu unataka kufanya haijakaa njema chalii.
Mapenzi hayana siri halafu huo mgogoro wako na mkeo ni wa mpito tu.
Naona kama vile unatafuta pumziko nje.
Rudi kwa wife upesi kabla shetani hajaamka.

Hivi amelala eeh?

Mi naona wameshatongozana tayari hapo kwa muktadha wa ile sredi ya Miss Judith.

Ushauri wangu kwa kweli kwenye hili, nadhani utoe hofu kisha ufanye kile ambacho unadhani ni sahihi

sasa hivi hauko sawa kisaikolojia hivyo kwepa kufanya maamuzi mazito.
 
Huyo shetani mwambie ashindwe katika jina la yesu tena alegee.

Weka mambo yako sawa na wife wako bana huyo wa ofisini anajua una mke atakuchuna mpaka ngozi itoke.

Yanini kujiongezea majukumu bana, ukalipie hotel (Najua huwezi mpeleka home kwako)
Umgharamie mambo mengine meeengi tu yanini bana hebu rudi kwa mkeo myamalize
 
Sasa baba uhusiano wa siri sana halafu uwe wa kawaida hapa kama umetuchanganya.Ok simple like this,usitafakari wala kuchukua hatua.Kama anakuja anakaa kaa kwenye meza yako weka upupu komesha kabisa yeye!!

kichwa zote zingekuwa kama hii, aaah! hahahahahaha! tht z wht we called plan B
 
Dena umeoonaeeeeeeeee best yangu!!!!!!!!! hapo ndipo wanaume mnaponichanganya akili, mnaniudhi sana!! baada ya kusolve tatizo na mkeo unaona suluhisho ni kutafuta nyumba ndogo!!aaaaaaaaaahhh
 
Mkuu kavunje ukimya na mwenza wako kama yesemavyo matangazo kwa hisani ya watu wa marekani!. Kazini ni mahala pa kazi na si vyenginevyo.
 
Asante niwe kama JK?
Hivi amelala eeh?

Mi naona wameshatongozana tayari hapo kwa muktadha wa ile sredi ya Miss Judith.

Ushauri wangu kwa kweli kwenye hili, nadhani utoe hofu kisha ufanye kile ambacho unadhani ni sahihi

sasa hivi hauko sawa kisaikolojia hivyo kwepa kufanya maamuzi mazito.
 
Dena umeoonaeeeeeeeee best yangu!!!!!!!!! hapo ndipo wanaume mnaponichanganya akili, mnaniudhi sana!! baada ya kusolve tatizo na mkeo unaona suluhisho ni kutafuta nyumba ndogo!!aaaaaaaaaahhh
Nimeshasikiliza ushauri mwingi na kimsingi nashukuru wote kabisaaaaaa.
JF idumu.
Lakini nanyi wanawake punguzeni hizo tabia za hivyo
 
Mkuu kavunje ukimya na mwenza wako kama yesemavyo matangazo kwa hisani ya watu wa marekani!. Kazini ni mahala pa kazi na si vyenginevyo.
Haya nishakupata, kuwa kwa status yangu hilo basi
 
Dah mkuu umekuwa sentimental hadi umenitoa uchozi, jama uchozi, uchozi........uchoziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Nalia miye jama kwa nini lakini tunachakachua nje hali tumeoa bila kulazimishwa????!!!!!!!!! Jamani tuwahurumie viumbe hawa wa Mungu na tujihurumie sisi wenyewe.............Jamani jamani leo nimetolewa uchozi na kiibodi.
Tafadhali naomba usilie, maana ni hatua ya mbali sana na kama ingekuwa tayari hivyo basi isingekuwa sahihi kutumia bandwidth za JF kuleta jambo lililooza tayari.
hata hivyo thanks for your concern and point taken
 
We husninyo hujambo lakini..........Unajua nimeanza kutamani kulipa maana yake jina langu kwako......unasemaje sasa?

sijambo shikamoo babu.
Bibi hajambo?
Mwambie mjukuu wake wa nje husninyo anamsalimia. Sawa eeh?
Udumu ubibi na ubabu!! Amen.
 
Mjukuu wangu huyo.....haya nimekuelewa mjukuu. Ila bibi yako amesema uwe unakuja kumsaidia saidia mke mwenzie manake siku hizi amechoka choka na uzee lol.
 
Back
Top Bottom