Nisikilizeni CHADEMA: Tatizo ni UKAWA, Hili ndilo chaguo langu la rais wa 5

Mi ni mvivu kusema ukweli wa makala ndefu. Tatizo nililonalo ni kwamba, baadhi ya watu wakiandika makala km huyu "Mzee wetu" lazima nihakikishe naimaliza. Naimaliza kwa sababu lazma kuna point za maana na za kutosha. Nikuulize #Mzee mwanakijiji; Kwa nini ushauri huu usingeutoa mapema na "kuhakikisha" unafanyiwa kazi na CHADEMA?

Mbona ulishatolewa kwa namna mbalimbali huko nyuma? Hapa nimerudia tu labda kwa kirefu.
 
Mawili either mwanakijiji ni double agent wa CCM.Au ameaidiwa kitu na Dr Silaa. Aisee ni ngumu kumesa leo hii Lowassa kakatwa na CCM,opposition isi take advantage. Lowassa angepitishwa na CCM,tusijidanganye angeuchukua uraisi kwa landslide kubwa sana. Mungu amesikia kilio chetu kamuweka kando hili tumkaribishe kwetu aje na hizo kura zake-suala ni kuiondoa CCM,mengine baadaye-hatuwezi tena pata opportunity kama hii. Hakuna cha slaa wala mbowe au lipumba mwenye political clout ya kumzidi huyu baba-tusahau mengine yaabidi tuamke bila hivyo CCM hiyo inatuwashia indiketa. kama ni kula matapishi hiyo ni hulka ya siasa

Je umesikia dawa ya UKIMWI mahali?
Ni miaka mingapi wataalamu wanahangaika na Ukimwi bila mafaniko! Chukua mfano huu wa ugonjwa wa ukimwi wewe huna je utaolewa au kuoa mwenye Ukimwi na kufurahia ndoa bila vikwazo. Ufisadi na Fisadi ni UKIMWI wa Maendeleo kuliko hata ukimwi wenyewe wa kwenye mwili wa binadamu.

Acheni masihara na IKULU- Mwalimu nyerere alitamka Ikulu ni mahala patakatifu naona watu hajamwelewa anamaanisha nini.
Mtu huyu hata neno Ufisadi au Rushwa kutoka kinywani kwake ni dhambi tamka leo hii mnataka kutuaminisha kuwa atatusaidia akiwa pale magogoni.

Je umejiuliza Kampeni yake ya kutia nia ametoa ngapi?
Kwa nini chama chake immekate?

Kama CDM au UKAWA hawana wagombea basi watuletee wabunge kila kona ya Nchi hii majimbo yote, wawa achie CCM wampeleke Magufuli wao kwa Goli la Mkono Magogoni tutakutana DODOMA kwenye Sauti ya UMMA. Pepeolessssssssss Power! alah kumbe Kampeni bado!

Watanzania Amkeni magogoni siyo Karata ya Mwisho kwetu. Wabunge wetu 250 wa UKAWA Magufuli atakuwa Raisi wa Mwezi Mmoja na wa Mwisho wa CCM kutawala kwa Mwezi mmoja.Kama hutakia unaacha.

cc Mzee Mwanakijiji Tumaini Makene
 
Kwendraa huko-politics za Afrika na ufisadi ni bega kwa bega ukiondoa wachache ambao ni adimu kama Nyerere-Hao akina SLAA,Kikwete,Mkapa etc etc wote ni wavizia opportunities afadhali Lowassa keshatajirika sana sana ata channel miela yake kwenye coffers za state
 
Ungewashauri tu Chadema kujitoa kuliko kulipaka rangi shauri lako. Siasa ni ridhaa, CDM kama wanahisi wanaweza fanya vyema zaidi nje ya UKAWA ambayo umekiri ni "hewa", ungejikita zaidi kuwaambia wazi kuwa watoke na sio kuzunguuka zunguuka.

NB: Makala ndefu kweli kweli!
 
Kama watu wanafikiria UKAWA sasa hivi inasumbua ni lazima wafikirie itakuwaje kama watashinda Urais na Ubunge... watatawala vipi? Implication ya sita sita hii kwa utawala wa taifa inatisha...
 
Sikubaliani na hoja za mwanakijiji kwakua kwanza haziko huru anaonekana ni mpenzi wa mkono upande fulani pia kukubalika kwa dr slaa sio kigezo kikubwa kwa kuwa pindi mwanachama yeyote ataeteuliwa na ukawa kutoka chama chochote basi ni dhahiri atawakilisha matakwa ya wanaukawa hivyo wana ukawa wote watakua kitu kimoja kwakuwa kwa muonekano ulivyo wana ukawa hawaangalii mtu wanaangalia zaidi 'UKAWA' na wantakacho amaua ukawa watakubaliana nacho, kama ilivyo kwa ccm walivyokubaliana kwa uteuzi wa magufuli.
 
Kama watu wanafikiria UKAWA sasa hivi inasumbua ni lazima wafikirie itakuwaje kama watashinda Urais na Ubunge... watatawala vipi? Implication ya sita sita hii kwa utawala wa taifa inatisha...
Chini ya Lowassa-hili si tatizo-huyu ni mtu wa maamuzi magumu-kama ni udikteta kwa mbali isiwe shida swala ni taifa kwanza
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji twende mbele tu rudi nyuma.

Ebu pitia hili andiko la kisanyansi -anyway niya muda kidogo lakini kwa kuangalia hii hoja ndefu uliyoandika natengemea utakuja na mtazamo wenye kuwa na nafuu fulani kwa wapenda mabadiliko ya Kimfumo bila kusahau tahadhari.

Pamoja na kukusikiliza pengine kwa faida ya muda mfupi na katika kupunguza na kujifunza mikakati ya adui hatua ya kuwa Ndani ya UKAWA na hili la Kuwa na Lowassa pengine inaweza kuwa weka wapinzani karibu na watanzania hasa wakulima -kauli ambayo kama sikosei Mwenyekiti Mbowe aliidokeza.

[h=3]Why the CCM Won't Lose: The Roots of Single Party ...[/h]www.csae.ox.ac.uk/conferences/.../457-OGorman.p...

University of Oxford by M O’Gorman - ‎2009

Mar 18, 2009 - the political system of Tanzania, adding an incentive for politicians to .... suggest that the Chama Cha Mapinduzi (CCM), the party that ruled
 
Last edited by a moderator:
Kwendraa huko-politics za Afrika na ufisadi ni bega kwa bega ukiondoa wachache ambao ni adimu kama Nyerere-Hao akina SLAA,Kikwete,Mkapa etc etc wote ni wavizia opportunities afadhali Lowassa keshatajirika sana sana ata channel miela yake kwenye coffers za state

Dah!
Haya bwana mie sina la kusema!
Ila naokuomba muulize hilo swali siku akija kukuomba kura-vipi nasikia unapesa na una wadau wenye pesa -je mtatulipia kiasi ganikwenye Deni letu la Taifa.Jibu usimwambie mtu.

Hilo kama gumu muulize kuwa atajilipa kiasi gani akiwa Ikulu (Raisi)kama Posho na Mshahara maana anapesa na hahitaji kuongezea.
 
The underlying point is to remove CCM-too many years in stagnation-we need changes alternatives if it happens our objectives are not met-we will vote again- Changes will never come if we don't probe unknown depths. CCM have taken us for granted- you only have to look at our neighbours Kenya to see what a catylist change is
 
Tatizo ni UKAWA.

[h=3] Breaking News: Prof. Ibrahim Lipumba[/h]Prof. Ibrahim LIPUMBA ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti kwenye chama chake cha CUF.

Ametangaza kuachia ngazi uenyekiti wa chama hicho mapema leo, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Peacok.

Amesema amechukua uamuzi huo kutokana na UKAWA kushindwa kusimamia makubaliano yao.
 
Naona hauna nia njema kabisa, wala usitudanganye na andiko lako, unaeleweka uko upande upi.
 
Back
Top Bottom