sa ukiona hivyo si ungepungua wewe? wanapokuja we unatoka, heheee harufu wadai chafu harafu wazidi kuisogelea?Wingi wa watu, na kila kukicha watu wanazidi kumigrate kuja Dar.
we una kila dalili za uchoyo,Daladala kupark kila mahali wakati wa kupakia na kushusha abiria,omba omba kila sehemu za makutano ya barabara,
si uhame? nenda kule Ipinda kyela waweza usione foleni milelekati ya vitu ambavyo sivipendi kabisa ktk jiji la Dsm ni
1] Foleni zisizo na sababu
2] Hakuna maji na umeme wa uhakika
3] .....
Nilishapungua huko siku nyingi, usijali sanasa ukiona hivyo si ungepungua wewe? wanapokuja we unatoka, heheee harufu wadai chafu harafu wazidi kuisogelea?
Mweh...we hupendi watu? as for me, I get my strength from God and aspiration from them peopleWingi wa watu, na kila kukicha watu wanazidi kumigrate kuja Dar.
Hii style yako imekaa ki-Mwakaleli zaidi.we una kila dalili za uchoyo,
tena, LugomboHii style yako imekaa ki-Mwakaleli zaidi.
Noted with appreciation!Nilishapungua huko siku nyingi, usijali sana
BTW asante kwa ushauri.
DSM kuna walemavu wengi eeh?Bajaj bila kuuandaa infrastructure...