worldsama1
Member
- Mar 3, 2018
- 17
- 1
- Thread starter
- #41
Asante sana mkuu.kwanza unahitaji kuikumbuka ndoto yako (kama ulikuwa nayo wakati unaanza shule) Kama bado imo kwenye ulicho achieve mpaka sasa angalia katika fani hizo tatu ipi inafiti the best with that dream. then follow that. ukija hapa jamvini watu watakuchagulia fani based on their dreams, achievements, failures, irresponsibilities zilizowafanya washindwe au some other aspect ambayo sio lazima iwe true with you. mtu atakwambia mining inachukua muda mrefu kusoma. jiulize kwa nini bado inafundishwa. au atakwambia kasome law kwa sababu yeye ni mbishi na kamuona somebody mmoja tu aliyefanikiwa katika law lakini labda sio kwa some orthodox means. yapo mambo mengi ya kutafakari lakini anza na wewe mwenyewe una nini mkononi, unataka kufika wapi. maisha hakuna kuchelewa na kila mmoja anauwezo wa kufika anapopataka akiweka juhudi ya kiakili, kirasilimali and physically panapotakiwa. tafuta ushauri wa kufaa lakini uupime kabla ya kuuchukua. but you first need to have a dream of your own.
Nazingatia sana!!!