Nishaurini nirudiane naye au nimuweke awe uwanja wa mazoezi?

na kila akiondoka anakua na mwanaume wanaishi hii ya mwisho mwanaume aliyekua naye walivishana pete lakini msela alikua anampiga sana mpaka ananikumbuka maana sijawahi mgusa hata kwa bahati mbaya haya nimeyajua baada ya yeye mwenyewe kuniambia maana anataka turudiane nami sitaki japo nampenda bado

we ni mwehu nenda hospital kwanza afu una miaka 33 sio vzuri kua mjinga ujue ..
Dah sheria za kwetu jamaa inabidi apigwe na ufagio hadi kufa😠😠
 
Huyu atakuwa mwanaume wa Dar es Salaam bila shaka. Hawezi kusoma anashindwa hata kutafsiri picha?
 
na kila akiondoka anakua na mwanaume wanaishi hii ya mwisho mwanaume aliyekua naye walivishana pete lakini msela alikua anampiga sana mpaka ananikumbuka maana sijawahi mgusa hata kwa bahati mbaya haya nimeyajua baada ya yeye mwenyewe kuniambia maana anataka turudiane nami sitaki japo nampenda bado

we ni mwehu nenda hospital kwanza afu una miaka 33 sio vzuri kua mjinga ujue ..
Hahahahaha mimi kama vampire nitamnyonya damu huyo jamaa miaka 33 uko ivyo
 
Hivi mtu hadi anawekwa ndani na njemba ingine mara 2 we bado uko nae tu....sasa hapa hata tukikushauri si tutakua tunapigia mbuzi gitaa...
 
Nimewahi kuwa na mahusiano na mdada mmoja kutoka kwao alikuja kanda ya ziwa kwa ajili ya masomo katika katika harakati zangu tukakutana nikamfikishia langu la moyoni akanielewa japo ilichukua siku kadhaa kukutana kimwili.

Baada ya kukutana kimwili ilibidi ahamie kwangu maisha yakasonga baadae akanishauri tuhame mahali tulipokua tunaishi kwakua ilikua mbali na chuo kilipo anaposomea hivyo tulihama na kusogea karibu na chuo kilipo.

Mie maisha yaliyumba ikafikia wakati wa fildi kwakua ni mgeni hivyo alinipatia barua za kusambaza katika maofisi kwa ajili ya fildi nami nilizisambaza,,, alipigiwa simu kati ya ofisi moja alipoenda akaambiwa subiri kidogo tutakujulisha baada ya hapo wakaanza kuchat na jamaa hapo ofisini ndipo mabadiliko yalipoanzia,,,

Siku moja akaondo ka nyumbani wakasafiri na jamaa kwa siku tatu (3) aliporudi akachukua vitu ndani akahama akaenda kupanga nikamuacha lakini kwakua nilimpenda mawasiano yalirudi akarudi home maisha yakaendelea,,,

Story ni ndefu kwa kifupi ameodoka kwangu na kurudi mara mbili (2) na kila akiondoka anakua na mwanaume wanaishi hii ya mwisho mwanaume aliyekua naye walivishana pete lakini msela alikua anampiga sana mpaka ananikumbuka maana sijawahi mgusa hata kwa bahati mbaya.

Haya nimeyajua baada ya yeye mwenyewe kuniambia maana anataka turudiane nami sitaki japo nampenda bado juzi kati alikuja kwangu nikakaa naye kwa wiki moja anadai anataka ni muoe nizae naye ila naogopa matendo yake anaweza rudia tena,,, mpaka sasa tuna mawasiliano.

Nishaurini nirudiane naye au nimuweke awe uwanja wa mazoezi.
Anakuzidi akili,achana naye
 
Endelea kumkula tuu mwanawane ndio kilichobakia hafai kuwa mke huyo. Mbususu haisuswi ikija wee unasasambua tuu ila hakikisha unakuwa na mademu wengine kama wawili hivi
 
Muoe mkuu uyo mwanamke ni wife material uwezi pata kama uyo tena ukimuacha
 
Nimewahi kuwa na mahusiano na mdada mmoja kutoka kwao alikuja kanda ya ziwa kwa ajili ya masomo katika katika harakati zangu tukakutana nikamfikishia langu la moyoni akanielewa japo ilichukua siku kadhaa kukutana kimwili.

Baada ya kukutana kimwili ilibidi ahamie kwangu maisha yakasonga baadae akanishauri tuhame mahali tulipokua tunaishi kwakua ilikua mbali na chuo kilipo anaposomea hivyo tulihama na kusogea karibu na chuo kilipo.

Mie maisha yaliyumba ikafikia wakati wa fildi kwakua ni mgeni hivyo alinipatia barua za kusambaza katika maofisi kwa ajili ya fildi nami nilizisambaza,,, alipigiwa simu kati ya ofisi moja alipoenda akaambiwa subiri kidogo tutakujulisha baada ya hapo wakaanza kuchat na jamaa hapo ofisini ndipo mabadiliko yalipoanzia,,,

Siku moja akaondo ka nyumbani wakasafiri na jamaa kwa siku tatu (3) aliporudi akachukua vitu ndani akahama akaenda kupanga nikamuacha lakini kwakua nilimpenda mawasiano yalirudi akarudi home maisha yakaendelea,,,

Story ni ndefu kwa kifupi ameodoka kwangu na kurudi mara mbili (2) na kila akiondoka anakua na mwanaume wanaishi hii ya mwisho mwanaume aliyekua naye walivishana pete lakini msela alikua anampiga sana mpaka ananikumbuka maana sijawahi mgusa hata kwa bahati mbaya.

Haya nimeyajua baada ya yeye mwenyewe kuniambia maana anataka turudiane nami sitaki japo nampenda bado juzi kati alikuja kwangu nikakaa naye kwa wiki moja anadai anataka ni muoe nizae naye ila naogopa matendo yake anaweza rudia tena,,, mpaka sasa tuna mawasiliano.

Nishaurini nirudiane naye au nimuweke awe uwanja wa mazoezi.
Uwanja wa mazoezi anastahili.

M\ke kaondoka mara mbili na mara zote kisa kapata m/me mpya asee ukioa umeoa kisukari, presha ya kupanda na kushuka, homa ya ini na homa kali ya mapafu (uviko-19)
 
Nimewahi kuwa na mahusiano na mdada mmoja kutoka kwao alikuja kanda ya ziwa kwa ajili ya masomo katika katika harakati zangu tukakutana nikamfikishia langu la moyoni akanielewa japo ilichukua siku kadhaa kukutana kimwili.

Baada ya kukutana kimwili ilibidi ahamie kwangu maisha yakasonga baadae akanishauri tuhame mahali tulipokua tunaishi kwakua ilikua mbali na chuo kilipo anaposomea hivyo tulihama na kusogea karibu na chuo kilipo.

Mie maisha yaliyumba ikafikia wakati wa fildi kwakua ni mgeni hivyo alinipatia barua za kusambaza katika maofisi kwa ajili ya fildi nami nilizisambaza,,, alipigiwa simu kati ya ofisi moja alipoenda akaambiwa subiri kidogo tutakujulisha baada ya hapo wakaanza kuchat na jamaa hapo ofisini ndipo mabadiliko yalipoanzia,,,

Siku moja akaondo ka nyumbani wakasafiri na jamaa kwa siku tatu (3) aliporudi akachukua vitu ndani akahama akaenda kupanga nikamuacha lakini kwakua nilimpenda mawasiano yalirudi akarudi home maisha yakaendelea,,,

Story ni ndefu kwa kifupi ameodoka kwangu na kurudi mara mbili (2) na kila akiondoka anakua na mwanaume wanaishi hii ya mwisho mwanaume aliyekua naye walivishana pete lakini msela alikua anampiga sana mpaka ananikumbuka maana sijawahi mgusa hata kwa bahati mbaya.

Haya nimeyajua baada ya yeye mwenyewe kuniambia maana anataka turudiane nami sitaki japo nampenda bado juzi kati alikuja kwangu nikakaa naye kwa wiki moja anadai anataka ni muoe nizae naye ila naogopa matendo yake anaweza rudia tena,,, mpaka sasa tuna mawasiliano.

Nishaurini nirudiane naye au nimuweke awe uwanja wa mazoezi.
Kwa kuwa huwa anajileta mwenyewe, wewe gonga tu papuchi hiyo, papuchi huwa haikataliwi. Ila, USIJARIBU KUMUOA, NI HATARI SANA KWA AFYA YAKO..!!
 
Back
Top Bottom