Nishaurini jamani, Location gani nzuri kwa biashara ya HARDWARE(DSM & Pwani)

Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,921
4,235
Habari za kazi wapendwa wote wana JF.

Ninaamini hapa kuna wazoefu wengi wa masuala ya biashara au Idea yoyote ya HARDWARE.Ninampango wa kuanzisha biashara hii ya hardware(vifaa vya ujenzi na umeme) na kwa sasa nipo kwenye Research ili nifanikishe malengo.

Naomba mniambie ni sehemu gani nzuri inalipa kama ni hapa katikati ya jiji au pembezoni ya jiji. Pia kama una anything i.e ushauri,maoni,maonyo au maelekezo yoyote kuhusiana na biashara hii usisite kunieleza.

Asanteni sana and Iam looking forward to get great things from great thinkers.
 
Hapo inategemeana na mtaji wako kama una mtaji mkubwa weka hata k.koo hapo utakula vichwa kama kawa au nenda Gerezani kule nako kupo fresh dili utapiga sana. Lakini kama capital ndogo maeneo kama ya Buguruni, Tegeta, Kibaha napo kupo fresh.
 
Habari za kazi wapendwa wote wana JF.
Ninaamini hapa kuna wazoefu wengi wa masuala ya biashara au Idea yoyote ya HARDWARE.Ninampango wa kuanzisha biashara hii ya hardware(vifaa vya ujenzi na umeme) na kwa sasa nipo kwenye Research ili nifanikishe malengo.
Naomba mniambie ni sehemu gani nzuri inalipa kama ni hapa katikati ya jiji au pembezoni ya jiji.
Pia kama una anything i.e ushauri,maoni,maonyo au maelekezo yoyote kuhusiana na biashara hii usisite kunieleza.
Asanteni sana and Iam looking forward to get great things from great thinkers.
MWENGE!lazima upige hela
 
Hapo inategemeana na mtaji wako kama una mtaji mkubwa weka hata k.koo hapo utakula vichwa kama kawa au nenda Gerezani kule nako kupo fresh dili utapiga sana. Lakini kama capital ndogo maeneo kama ya Buguruni, Tegeta, Kibaha napo kupo fresh.
Senks.Mtaji wangu ni mdogo.nadhani kwa sasa nikimbilie kibaha maybe.
 
Why dont you do you own study?.. yeah this is one means but I advice that make your own research... before making a final decision.
 
Senks.Mtaji wangu ni mdogo.nadhani kwa sasa nikimbilie kibaha maybe.
Mi nakwambia nenda mwenge karibu na NHBRA(national housing and building research agency),unapoanza tu kwenda ubungo kulia.na kuna frame ipo blank pale
 
Kigamboni nako ni kuzuri kwa aina hiyo ya biashara......project nyingi za ujenzi zinaendelea huko!!
 
why dont you do you own study?.. yeah this is one means but I advice that make your own research... before making a final decision.
Unamaanisha nini my friend? kwamba nipite katika hayo maeneo na kufanya interview nao? wasi2 ni kuwa will they give me the FACTS?Sometimes watu huwa haapendi kusema ukweli wao hasa kwa kuhofia kuwa akiongezeka mfanyabiasha mwingine ushindani utaongezeka.
 
Ni vizuri kuweka HARDWARE sehemu zinazochipukia au jirani na sehemu hizo...mfano WILAYA YA KINONDONI: Tegeta,Boko,Bunju A au Bunju B pia maeneo ya Mbezi kwa Msuguri,Mbezi Mwisho,Luguruni,Kibamba WILAYA YA ILALA:maeneo ya Segerea,Kinyerezi,Ukonga,Pugu na Chanika. WILAYA YA TEMEKE: Mbagala,Mtoni Mtongani,Kongowe,Toangoma na Kisota(Mjimwema)
 
mi nakwambia nenda mwenge karibu na NHBRA(national housing and building research agency),unapoanza tu kwenda ubungo kulia.na kuna frame ipo blank pale
Senks.Mwenge panaonekana pana network kubwa ,lakini naangalia pia kodi ya pango kwa vile naona bila shaka maeneo yatakuwa yanatofautiana.Kwa huu mwanzo wangu naona kama patakuwa very ekpensive kodi yako.
 
Senks.Ushauri wako ni mwanana.
 
Senks.Mwenge panaonekana pana network kubwa ,lakini naangalia pia kodi ya pango kwa vile naona bila shaka maeneo yatakuwa yanatofautiana.Kwa huu mwanzo wangu naona kama patakuwa very ekpensive kodi yako.
sidhani kama patakuwa as expensive as gerezani...!enewei,angalia angalia hata bunju kule kunalipa.kuna ujenzi mkubwa unaendelea pande za mbweni na kuendelea
 
mi nakwambia nenda mwenge karibu na NHBRA(national housing and building research agency),unapoanza tu kwenda ubungo kulia.na kuna frame ipo blank pale

Kaka Geoff heshima mbele!!! Hapo NHBRA zimetapakaa Hardware za kufa mtu,na ninahisi wale pale wapo "ki-rombo" zaidi yaani Wale wa Rombo-Tarakea wananunua kwa Wa-Tarakea wenzao,Wale wa Rombo-Mashati wananunua kwa Wa-Mashati wenzao,Wale wa Rombo-Mkuu wananunua kwa Wa-Mkuu wenzao sasa Charity wewe ni wa Rombo ipi (Just kiddn!!! Nothing personnal)
 
Unamaanisha nini my friend? .

mpotezee tu.
Anamaanisha kwa nn usifanye utafiti wako mwenyewe hajui kuwa wewe ndo kwanza unataka kuwekeza kwenye hii ishu. Yeah nenda pale Mwenge kwenda ubungo napo pana vichwa sana pale...mizigo ya jumla nione hahahahaha
 
:eek::eek:hili sikulifikiria kwakweli
 
Kaka Geoff heshima mbele!!! Hapo NHBRA zimetapakaa Hardware za kufa mtu,na ninahisi wale pale wapo "ki-rombo" zaidi yaani Wale wa Rombo-Tarakea wananunua kwa Wa-Tarakea wenzao,Wale wa Rombo-Mashati wananunua kwa Wa-Mashati wenzao,Wale wa Rombo-Mkuu wananunua kwa Wa-Mkuu wenzao sasa Charity wewe ni wa Rombo ipi (Just kiddn!!! Nothing personnal)

lol kwa mtaji huo huwezi piga biashara.
Labda uwe na kizizi hapo utakomba wateja wao wote.
 
Kaka Geoff heshima mbele!!! Hapo NHBRA zimetapakaa Hardware za kufa mtu,na ninahisi wale pale wapo "ki-rombo" zaidi yaani Wale wa Rombo-Tarakea wananunua kwa Wa-Tarakea wenzao,Wale wa Rombo-Mashati wananunua kwa Wa-Mashati wenzao,Wale wa Rombo-Mkuu wananunua kwa Wa-Mkuu wenzao sasa Charity wewe ni wa Rombo ipi (Just kiddn!!! Nothing personnal)
Duu! hapa kweli kuna kazi.Sasa sie akina mapembelo vavene si tutasusiwa biashara.Asante lakin kwa angalizo hili.
 
mbezi ya tanki bovu, afrikana, tegeta, wazo hill, madale, boko, mbweni, bunju, goba etc
 
mpotezee tu.
Anamaanisha kwa nn usifanye utafiti wako mwenyewe hajui kuwa wewe ndo kwanza unataka kuwekeza kwenye hii ishu. Yeah nenda pale Mwenge kwenda ubungo napo pana vichwa sana pale...mizigo ya jumla nione hahahahaha

Hili nalo ni jambo la msingi.Itabidi nikutafute.Nipate madiskaunti.
 
Duu! hapa kweli kuna kazi.Sasa sie akina mapembelo vavene si tutasusiwa biashara.Asante lakin kwa angalizo hili.

Weweeeeeee hao wapo juu k/koo hapo utawakuta kwenye pamba nyepesi kama unamtaji wa kuruka China na Thailand ingia huko kwenye pamba nyepesi
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom