Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,235
Habari za kazi wapendwa wote wana JF.
Ninaamini hapa kuna wazoefu wengi wa masuala ya biashara au Idea yoyote ya HARDWARE.Ninampango wa kuanzisha biashara hii ya hardware(vifaa vya ujenzi na umeme) na kwa sasa nipo kwenye Research ili nifanikishe malengo.
Naomba mniambie ni sehemu gani nzuri inalipa kama ni hapa katikati ya jiji au pembezoni ya jiji. Pia kama una anything i.e ushauri,maoni,maonyo au maelekezo yoyote kuhusiana na biashara hii usisite kunieleza.
Asanteni sana and Iam looking forward to get great things from great thinkers.