Nishaurini jamani, Location gani nzuri kwa biashara ya HARDWARE(DSM & Pwani)

Fidel angalia tamaa zisikuharibie mlo baada ya kuwa umeuhanikiza kwa mate;

Charity huko mwanzoni ulisema mtaji mdogo; hivi mtaji mdogo kwa biashara hii ni kiasi gani?
 
YES I CAN!
Iam veeeery veeery veeery siriaz.Please I need your help especially you wapwaz na mabinamuz(lijendis & guests sijawasahau).
Hata ukisema nikuone Private nipo tayari ili mambo yaende.
poa!nitaomba mwongozo kutoka BOKO then nitakutafuta!...
 
YES I CAN!
Iam veeeery veeery veeery siriaz.Please I need your help especially you wapwaz na mabinamuz(lijendis & guests sijawasahau).
Hata ukisema nikuone Private nipo tayari ili mambo yaende.

Hapo ndipo huwa pananitatizaga!
 
Boko Hakuna tatizo ,infact nilipata baraka za Boko kabla ya kuanza mchakato huu.Kwa hiyo hilo ondoa shaka kabisa.
poa poa!LET'S PRAY FOR THE BEST!nimepata picha halisi ya signature yako rasmi leo
 
Hiyo ni kwa bidhaa tuu ama ni pamoja na kodi ya pango na mazagazaga?
Hii ni kwa bidhaa tu.lakini hata ukianza na nane au tisa nadhani sio mbaya.ila itabidi u-base sana kwenye vifaa vya umeme na badae mambo yakienda sawia unajitanua zaidi kwenye vifaa vya ujenzi.
 
Sasa umepata wazo la kuwekeza wapi na wapi au maeneo yapi nikuletee wateja.
 
Hebu nieleze mtizamo wako upoje.si unajua migongano ya mawazo?Ukizingatia wewe upo kimaadili zaidi 2010.
WELL,
wewe ni mtu mzima.unaamini na kusimamia unachokiplan.kwa upande wangu naona kama upo kwenye the right track.na hasa inapozingatiwa kwamba CONSTRUCTION INDUSTRY IS BOOMING!uwe na hardware hata mbili ndogo ndogo lakini uzilocate maeneo ambayo ujenzi umepamba moto ikiwepo BOKO,BUNJU,BAGAMOYO-huko unaweka moja.na nyingine weka barabara ya kuelekea mbagala kule basi.

wateja wako watakuwa pamoja na sisi marafikiambao ndo kwanza tunaota ujenzi.wataalamu katika field hiyo watakusaidia kupata wateja pia.

generally,IDEA YAKO IKO SO POSITIVE!
 
Sasa umepata wazo la kuwekeza wapi na wapi au maeneo yapi nikuletee wateja.
Kwa maoni ya wengi humu naona maeneo ambayo nayapa priority ni Bunju,Kigamboni na kibamba.Nitachagua mojawapo kati ya hayo.Sijafika muafaka kabisa kwani bado nafanya research na nina mpango wa kutembelea hayo maeneo phyiscally nifanye window shoping nione hali halisi ikoje.
 
WELL,
wewe ni mtu mzima.unaamini na kusimamia unachokiplan.kwa upande wangu naona kama upo kwenye the right track.na hasa inapozingatiwa kwamba CONSTRUCTION INDUSTRY IS BOOMING!uwe na hardware hata mbili ndogo ndogo lakini uzilocate maeneo ambayo ujenzi umepamba moto ikiwepo BOKO,BUNJU,BAGAMOYO-huko unaweka moja.na nyingine weka barabara ya kuelekea mbagala kule basi.

wateja wako watakuwa pamoja na sisi marafikiambao ndo kwanza tunaota ujenzi.wataalamu katika field hiyo watakusaidia kupata wateja pia.

generally,IDEA YAKO IKO SO POSITIVE!

SENKS!na kule nimekugongea.
Nahitaji maombi yenu kwa sana kwa sasa cause kamwe sitaki tena utumwa na nisingependa plan hizi zibakie hadithi.I want it to be the REALITY.
YES I CAN!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom