Rafiki yangu kaniomba ushauri,
juzi alitubu mbele ya mkewe na kuamua kuwa mkweli kuwa nje ya ndoa amezaa mtoto wa kiume akiwa ndani ya ndoa akamsihi mkewe amsamehe,mke alimsamehe wakakubaliana mtoto aletwe nyumbani wamlee. Kilichomchanganya ndugu yangu hadi kuomba ushauri ni pale mkewe aliposema '' mume wangu naomba sana nami unisamehe baba Jack, kwani wakati tunaoana nilikuwa na mimba ya mwezi mmoja ya mchumba wangu wa zamani, hivyo Jack si mwanao wa kumzaa''.Nisamehe sana niliona nitaaibika. Je nimshaurije?