Nishaurije?

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Rafiki yangu kaniomba ushauri,
juzi alitubu mbele ya mkewe na kuamua kuwa mkweli kuwa nje ya ndoa amezaa mtoto wa kiume akiwa ndani ya ndoa akamsihi mkewe amsamehe,mke alimsamehe wakakubaliana mtoto aletwe nyumbani wamlee. Kilichomchanganya ndugu yangu hadi kuomba ushauri ni pale mkewe aliposema '' mume wangu naomba sana nami unisamehe baba Jack, kwani wakati tunaoana nilikuwa na mimba ya mwezi mmoja ya mchumba wangu wa zamani, hivyo Jack si mwanao wa kumzaa''.Nisamehe sana niliona nitaaibika. Je nimshaurije?
 
Ouch! That's too complicated! I feel so sorry! No comment!
 
duh! hapo kazi ipo, mwanamke ameshasamehe, mwanaume ataweza kusamehe???!!!
 
AMSAMEHE! Hakuna complications hapo; ww unajuaje kuwa babako hakuchezewa rafu? Ni swala la heshima tu kwa mama zetu! Halafu kwa huyo Mwanaume bado Jack ni mwanawe kuliko hata huyo anayetakak kumleta acheni mawazo ya kizamani!
 
and that should be between the two only. hata jack asijue lolote. Amsamehe tu na je angeambiwa jack ni mwanao lakini anayemfuata jack si mwanao nilipata mimba ulipochelewa kutoka kazini....?
 
Rafiki yangu kaniomba ushauri,
juzi alitubu mbele ya mkewe na kuamua kuwa mkweli kuwa nje ya ndoa amezaa mtoto wa kiume akiwa ndani ya ndoa akamsihi mkewe amsamehe,mke alimsamehe wakakubaliana mtoto aletwe nyumbani wamlee. Kilichomchanganya ndugu yangu hadi kuomba ushauri ni pale mkewe aliposema '' mume wangu naomba sana nami unisamehe baba Jack, kwani wakati tunaoana nilikuwa na mimba ya mwezi mmoja ya mchumba wangu wa zamani, hivyo Jack si mwanao wa kumzaa''.Nisamehe sana niliona nitaaibika. Je nimshaurije?

....Ouch, wakati anatafakari jinsi ya 'kumuelewa' Mkewe, akafanye DNA kwanza kuthibitisha huyo mtoto wa nje pia ni wake kweli. ...mnh, 'uchungu!'
 
ukisikia vitu vinavyofanya umuone mwandani mchungu ndio kama hivi ulimpenda kweli na bado unampenda lkn hicho kitakunyima raha maisha ukizingatia mtoto unamuona everyday cha msingi amsamehe ila kama wana watoto wengine mambo yataisha lkn kama ndio huyo jack peke hapo kazi ipo
 
Back
Top Bottom