Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 237
Wakuu kutokana Na utitiri wa degree mtaani hasa Procurement Na kazi hakuna tena zikitoka zinataka watu wenye uzoefu Na holder wa masters, Na board CPS holder Na uzoefu wa miaka 8!
Nimefikiri nimeona nifanye masters labla itasaidia, nimejaribu kujiajiri kwenye kilimo kutokana na mtaji wa kubangaiza nimeishia kushindwa, ninafikiria kufanya masters ya Procurement au kubadilisha kabisa kwenda kwenye facult zingine.
Kwenye facult zingine unaweza nishauri mlioko makazini. Waliopitia hali Kama yangu wakavuka nishauri. JF tunaithamini Sana ni source kubwa ya information hivyo Nita-value Sana ushauri wako wa kujenga.

Last edited by a moderator: