Nishati mbadala kwa matumizi ya nyumbani

Gamariel

Member
Sep 8, 2009
82
6
Ndugu wana JF naomba mnisaidie kwa ushauri wa kujua cost effective method ya nishati mbadala
kama ni kutumia generator je ipi itaweza kutoshea umeme wa nyumba ya kuishi yenye tv,ac,friji, taa, nk
kama ni solar power hali kadhalika.

any other altenative source.

umeme wa tanesco hausomeki

mawazo yenu tafadhali
 
Nunua generator ya kv 5 honda inasukuma fresh hivyo vifaa vyako vyote
 
Tanzania si sehemu salama kwa masikini kuishi bei ya mafuta ipo juu.
bei ya mkaa juu
bei ya umeme juu
bei ya gas juu
 
tafuta solar yenye pannel kubwa, mwanzoni gharama lakini badae gharama za mafuta ni ziro
 
tafuta solar yenye pannel kubwa, mwanzoni gharama lakini badae gharama za mafuta ni ziro

Kwa vifaa alivyonavyo akitaka kuwekeza kwenye solar itambidi ajipange, hasa wakati wa kuanza, ila baada ya hapo gharama za uendeshaji ni ndogo sana. Solar panels gharama zake siyo kubwa sana, vitu vyenye gharama ni: Solar batteries ambapo battery 1 deep cycle ya 12 v, 200 ah ni 600,000, Inverter itabidi upate ya 5 KVA, Charger Controller itabidi upate ya 48 VDC, 60-90 AMP. Hivyo ni baadhi ya vitu muhimu, japo vipo vifaa vingine kama wire nk.
 
Back
Top Bottom