Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
Kulikuwa na uvumi baada staa wa bongo movies kushikwa na ugonjwa wa ghafla usiojulikana chanzo chake lakini baadae ukweli umegunduliwa kuwa Nisha alikuwa mja mzito na aliavya mimba jambo ambalo lilimfanya yeye kuathirika.
Mwandani wa familia ya Nisha aliweka wazi jambo hilo baada ya wadaku wa habari kutaka kujua chanzo cha ugonjwa wa Nisha.
Chanzo>>>Nisha Augua Baada Ya Kuavya Mimba - bkuHABARI
Mwandani wa familia ya Nisha aliweka wazi jambo hilo baada ya wadaku wa habari kutaka kujua chanzo cha ugonjwa wa Nisha.
Chanzo>>>Nisha Augua Baada Ya Kuavya Mimba - bkuHABARI