Nisamehe Mwigulu Nchemba

Othmorine

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
714
782
Hakika leo nathubutu kumuomba msamaha ndg Nchemba kwa mawazo yangu hasi juu yake. Nilimdharau na kumzihaki!! Nilimuona kama kada maslahi kumbe sikuwa sahihi!Leo nadiriki kujitokeza hadharani na kukwambia SAMAHANI.

Mchango wako wa leo bungeni ndio ulionibadilisha mtazamo wangu hasi juu yako.Kweli mwanzo hatukukujua vizuri.

Mimi sio mtabiri,lakini kwa uzalendo na msimamo wako usio na chembe ya uoga wa kuwatetea walala hoi wa nchi hii,hakika utafika mbali sana katika medani hii ya kisiasa.

Kila la heri mzalendo.
 
Hakika leo nathubutu kumuomba msamaha ndg Nchemba kwa mawazo yangu hasi juu yake. Nilimdharau na kumzihaki!! Nilimuona kama kada maslahi kumbe sikuwa sahihi.......!Leo nadiriki kujitokeza hadharani na kukwambia SAMAHANI.
Mchango wako wa leo bungeni ndio ulionibadilisha mtazamo wangu hasi juu yako......Kweli mwanzo hatukukujua vizuri.
Mimi sio mtabiri,lakini kwa uzalendo na msimamo wako usio na chembe ya uoga wa kuwatetea walala hoi wa nchi hii....hakika utafika mbali sana katika medani hii ya kisiasa.
Kila la heri mzalendo.

Big up Mwigulu
 
Comrade Othomorine; Ok ni uungwana kukubali kosa na kuomba msamaha; lakini mtazamo wako dhidi ya Mwigulu Nchemba ulikuwa SAHIHI 100%; kwa sababu haiba ya mtu inawakilishwa na maneno na matendo yake! Mwigulu yule alikuwa wakala wa shetani!! nathubutu kukuhakikishia kwamba hukuwa peke yako kwenye mtazamo hasi dhidi ya the Then Mwigulu kada wa CCM; tulikuwa wengi sana; hata hivyo mmoja wa waasisi wa mapinduzi ya Zanzibar; hayati Shk Thabiti kombo alituasa kuwa na "Akiba ya maneno" nakubali Mwigulu amezisoma alama za nyakati na amebadilika lakini nmasita kumuomba msamaha sasa hivi; it is too early; wahenga walisema "Maji hayasahau asili; hata uyachemshe kiasi gani; shurti yatarudi yatakuwa baridi tu!!!!; tuwe na akiba ya maneno tusije kuwa disappointed; tusisahau kwamba kubadilika kwa Mwigulu tunakokusifia sisi; tayari ameshaanza kupata "maadui" ndani ya Chama Cha Majambazi; wanamuona kama Yuda Iskariot; ameanza kuwasaliti wakati walikuwa wanamuona kama jembe lao mahiri nla kuusakama upinzani; na leo hii sina hakika kama umemsikia mbunge wa sikonge Saidi Mbumba; kwenye mjadala wa escrow; ametamka bayana kwamba alishaanza kumuona Mwigulu kama amepotoka kutokana na msimamo wa Mwigulu kuhusu Bunge la katiba baada ya UKAWA kutoka nje.

Time will tell if mwigulu has indeed changed for the better and forever; tuendelee kumfuatilia; none the less hata mimi leo nimempa 110%. #bringbackourmoney
 
Umeongea busara tupu mkuu.Ngoja tusubiri na tuone....
 
Mwigulu ni mtu makini sana, japo hata mimi nilishangazwa na kauli zake pindi alipoingia kwenye siasa. Nilikutana nae mwaka 2009 akiwa Mtumishi wa BOT pale Arusha (kabla ya kuingia kwenye siasa), aliongea vitu vizito sana vinavyoigusa hii nchi. Baada ya mwaka mmoja nikamwona kwenye front page ya The Guardian kuwa amekua appointed kuwa Treasurer wa CCM, nilimtumia SMS ya kumpongeza na kumkumbusha zile kauli zake alizozitoa mwaka mmoja uliopita pale BOT Arusha. Lakini cha kushangaza nikaona kabadilika na kuanza kutetea hao mafisadi aliokua anawasema vibaya, nilishangazwa na tangia wakati huo alinivunja moyo. Lakini leo amerudisha imani yangu kwake, naamini this time imani hii hatoivunja tena.. Hongera Mwigulu Lameck Nchemba
 
Anajua kucheza ngoma ya kisiasa, anajua watanzania kwa sasa wanataka wasikie kitu gani kutoka wabunge wao bila kujali toka chama gani cha siasa. Huyu kaangalia zaidi ya mwaka 2014
 
Kweli Watanzania tumelogwa, hakuna mtu makini anayeweza kubaki kwenye Ccm hii.

Nakubali kabisa Mwigulu tangu amepewa unaibu waziri amejitahidi kubadilika na kusimama kitaifa zaidi, ila nikikumbuka ushetani alioshiriki Mwigulu siwezi kumuamini moja kwa moja kama amebadilika kweli huenda ni trick zake tu uchaguzi umekaribia.
 
Hakika leo nathubutu kumuomba msamaha ndg Nchemba kwa mawazo yangu hasi juu yake. Nilimdharau na kumzihaki!! Nilimuona kama kada maslahi kumbe sikuwa sahihi.......!Leo nadiriki kujitokeza hadharani na kukwambia SAMAHANI.
Mchango wako wa leo bungeni ndio ulionibadilisha mtazamo wangu hasi juu yako......Kweli mwanzo hatukukujua vizuri.
Mimi sio mtabiri,lakini kwa uzalendo na msimamo wako usio na chembe ya uoga wa kuwatetea walala hoi wa nchi hii....hakika utafika mbali sana katika medani hii ya kisiasa.
Kila la heri mzalendo.

Amesoma alama za nyakati na anenda na wakati. Kwa wadhifa alionao sasa unamfanya abadilike. Ameelewa kwamba anatakiwa awatumikie watz na sio kujisifu na kudharau maoni ya watu wengine kama yule nutty prof.
 
(1) mmesahau siasa ya Tz ni maji taka,
(2) kwani kinyonga ana rangi ngapi!
(3)kuwa mtoto wa mjini haina maana ya kuwa ulizaliwa mjini
(4) osha sahani chafu ili ule chakula safi
(5) kinyonga hufanya comoflage kwa wakati uliopo
 
kwa kweli Mwigulu amebadilika sana,kama ataendelea hivi sioni kwa nn tusimfikirie kumpa ofisi kuu 2020,sio mnafiki tena,anawafikiria maskini wa tanzania,mama wajane ,watoto wa wakulima,big up
 
Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom