Nisamehe MWALIMU sirudii tena

Sipendi kumuona mtoto analia au kusikia sauti ya kulia...they r like angels wanatia huruma kwa kqeli
 
Sipendi kumuona mtoto analia au kusikia sauti ya kulia...they r like angels wanatia huruma kwa kqeli

Ni kweli lakini haja hushinda hiyo huruma, sijui kama ulishawahi kulea, usiape kuwa hutofanya hivyo.
 
Kulikuwa na mwalimu wetu mmoja wakati huo ukiomba msamaha wakati anakuchapa anakwambia hivi ninavyokuchapa ndio kukusamehe kwangu nadhani tofauti na hapo angeua kabisa
 
Eeh bwanaee nilisha pigwa fimbo nyingi sana yani mpka na A level pia.unachapwa fimbo mpka unasikia kitcha kinataka kupanda.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom