Nisamehe Makonda, nilijua unamuonea Wema kumbe ni mtumiaji mzuri tu

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
NI AIBU KWA CHAMA KUPOKEA WATUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA NADHAN TUNAVUNA TULICHOPANDA

Nilishawah kutoa angalizo kwa chama changu juu ya ujio Wa huyu Wema Sepetu kuwa huyu ni galasa ambaye anakuja kutuchafulia chama chetu kwa kuwa huyu aliondoka ccm kwa kuwa alituhumiwa kujihusisha na utumiaji Wa dawa za kulevya.

Nadhan hata ile kashfa ya fly to KIA aliitengeneza yeye kwa lengo LA kuichafua CHADEMA na Mwenyekiti wetu.

Leo naweza kukubaliana na mh makonda kuwa huyu wema inawezekana zile tuhuma za utumiaj Wa madawa ya kulevya hakukurupuka Bali vyanzo vyake vya taarifa vilikuwa vya uhakika kabisa pasipo na shaka yeyote.

Nenda salama mama ila kwa hili CHADEMA WAJIFUNZE kutowapa AIRTIME sana kwenye media hawa wanaoondoka ccm na kuja CHADEMA kwa kuwa hawajua Sera za chama Bali huja baada ya maslah yao kuguswa.

Hakika TUNAVUNA TULICHOPANDA MIEZ KADHAA ILIYOPITA.

MUNGU IBARIKI CHADEMA
 
Wema,Wema!Ah tunamambo mazito yakitaifa,halafu MTU anakuja kutueleza habari za Wema!Aah Acha kujadili mtu ambaye hawezi kuleta uyakinifu ktk mambo ya kitaifa.Watanzania kwanini mnapenda kujadili vijihoja badala ya hoja zenye kuleta dira endelevu ktk taifa?Huu ni upumbavu completely.
 
Wewe ndo mtumiaji kuliko wema! Wakati anakuja chagadema mnashangilia na kudeki lami, sasa mnakuja na voroja. Bavicha sijui akili zitawarudia lini
 
NI AIBU KWA CHAMA KUPOKEA WATUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA NADHAN TUNAVUNA TULICHOPANDA

Nilishawah kutoa angalizo kwa chama changu juu ya ujio Wa huyu Wema Sepetu kuwa huyu ni galasa ambaye anakuja kutuchafulia chama chetu kwa kuwa huyu aliondoka ccm kwa kuwa alituhumiwa kujihusisha na utumiaji Wa dawa za kulevya.

Nadhan hata ile kashfa ya fly to KIA aliitengeneza yeye kwa lengo LA kuichafua CHADEMA na Mwenyekiti wetu.

Leo naweza kukubaliana na mh makonda kuwa huyu wema inawezekana zile tuhuma za utumiaj Wa madawa ya kulevya hakukurupuka Bali vyanzo vyake vya taarifa vilikuwa vya uhakika kabisa pasipo na shaka yeyote.

Nenda salama mama ila kwa hili CHADEMA WAJIFUNZE kutowapa AIRTIME sana kwenye media hawa wanaoondoka ccm na kuja CHADEMA kwa kuwa hawajua Sera za chama Bali huja baada ya maslah yao kuguswa.

Hakika TUNAVUNA TULICHOPANDA MIEZ KADHAA ILIYOPITA.

MUNGU IBARIKI CHADEMA
Kwa jinsi Chadema mlivyo, Mungu hawezi akapoteza muda wake kuwabariki nyinyi,si bora aende akavue samaki tu.
 
Tunapenda sana kujadili vitu visiyokuwa na tija,hapa kinachofanyika ni kumpaisha huyo shost wenu bila sababu za msingi,
 
Back
Top Bottom