Nisaidieni

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,145
Nashida na hitaji mtu wa kunisikiliza au kunipa ushauri nini chakufanya kama yupo aje pm
 
Nashukuru sana na bado naendelea kupokea maoni yenu na ninayafanyia kazi
 
Privacy?

Naona bado hilo tatizo halijakukaba koo.

Ungeliandika tatizo lako hapa jukwaani. Watu wakapata nafasi ya kukusaidia. Kumbuka, siyo wote watawiwa kuja huko PM. Na pengine, wale ambao wana nafasi kubwa ya kukusaidia hawatofika.

Andika shida yako hapa kila mtu ajisomee. Na kesho na keshokutwa ikawasaidia na wengine. Tatizo halitokei kwako tu.

Unatumia jina sanifu hapa JF. Hakuna mtu anakujua. Privacy yako inalindwa na jina lako la kubuni. Kama utaweza, pindisha baadhi ya mambo ambayo unahisi itapelekea identity yako nje ya JF kujulikana.

Pole sana.
 
Back
Top Bottom