Nisaidieni wazazi wangu hawataki nimwoe mmachame

Tafadhali usijaribu kuja kwetu nronga tutakutafuna kama simba urudi kwenu chakari wamachame tunaoana wenyewe tutakumeza unacheza wamachame ukiwa na mali tunakuua halafu mali inahamia kwetu ndo utaratibu tuliojiwekea na huyo demu wako anakutega atakufilisi ww ngoja ujichanganye kwe ndoa
 
Kweli kabisa usije ukathubutu kuoa Mmachame au Mchagga yeyote for that matter.Tunatisha kama ukoma....pesa ndo kitu pekee tunachokipenda kwa dhati...ndo maana tunafanya kazi wakati nyie wengine mmelala!

Ushauri...oa wa kwenu kwasababu tabia “ZENU“ zitakua moja na wazazi wako hawawezi kupinga kwasababu nao wanazo!!

Mmmmmnnnhhh.....kama wanawake wa kikenya sio?
 
Usiongozwe na hisia za mapenzi kufanya uamuzi wa kuoa!, kama sifa anazo (zaidi ya ananipenda, nampenda) oa tu!

Wamachame waliowengi wanaabudu fedha hawajali utu, hawana utii kwa waume zao hivyo wanataka wao wawe final ktk familia!, ni wachapa kazi na wanamsimamo mkali!

wanaume wengi wana msimamo mkali pia na wanahitaji utii wa mwanamke! Kama anatabia hizo hapo juu na wewe ni mwanaume wa kundi hilo hapo juu, nakutabilia mabaya katika maisha ya ndoa yenu na utawakumbuka wazazi wako sana tu!

Ushauri wangu ni umpime yeye sio kabila, na katika kumpima, weka pembeni mambo ya kupendana, huwa yanakwisha mapema na unabaki muungano!
 
Sijui kama ina ukweli mkuu lakini mimi binafasi sipendi watu waingilie ndoa ya mtu kwa njia yoyote hile kwani wewe binafsi ndio uta deal na mabaya na mazuri ya ndoa yako.

Uamuzi huko juu yako kamaa utaoa mtu unayempenda wewe au utaoa mtu ambaye wazazi wako ndio wanampenda.

kila la kheri
 
Ki ukweli mkuu sio wamachame tu hili tatizo la wachaga wote wanawake na wanaume hawa watu hawajatiwa program ya kupenda wala kula vyakula vizuri na mungu nina ushahidi wa kutosha yaani ukioa m/mke wa kichaga nikama umeoa MATATIZO kwa m/mke wa kichaga bora nibaki hivi hivi au nimuombe mungu anichukue
 
nyambaf!mi nadhani we umetumwa kuleta hoja za ukabila humu,ungesema na wewe ni kabila gani make inawezekana na wewe una matatizo ya kiasili ya kikwenu ndo maana wazazi wako hawamtaki dada angu wa kimachame.........kama unataka kufa vizuri oa kwetu meeku,na kama nafsi inasita nenda kwenye kaburi la shekh yahaya hussein ukamuulize atakutabiria!
hahaha! Naona memtolea uvivu!
 
cjui unaongelea wamachame wa karne ipi mkuu ila nakuhakikishia akuna k2 kama iyo huo ulikuwa na uvumi tu hivi utaua m2 sheria isichukue mkondo wake kweli? wanawaonea wivu kwavile ni wazuri wachapa kazi wanajua kujituma ata kama mwanaume ukuwa na ndoto za mafanikiwa utazipata tu.
meona eeh? Proudly machame!
 
Kweli kabisa usije ukathubutu kuoa Mmachame au Mchagga yeyote for that matter.Tunatisha kama ukoma....pesa ndo kitu pekee tunachokipenda kwa dhati...ndo maana tunafanya kazi wakati nyie wengine mmelala!Ushauri...oa wa kwenu kwasababu tabia “ZENU“ zitakua moja na wazazi wako hawawezi kupinga kwasababu nao wanazo!!
yeah! Me love mane! Its everythng 4 sure! Machame hoyee!
 
Ki ukweli mkuu sio wamachame tu hili tatizo la wachaga wote wanawake na wanaume hawa watu hawajatiwa program ya kupenda wala kula vyakula vizuri na mungu nina ushahidi wa kutosha yaani ukioa m/mke wa kichaga nikama umeoa MATATIZO kwa m/mke wa kichaga bora nibaki hivi hivi au nimuombe mungu anichukue
so pathetic! U nid 7 days fasting prayers
 
wazazi wako wabaguzi then ni primitive sana! Komalia penzi lako kwa mmachama!
 
wanaitwa wapalestina hao nenda huko machame ukaone majumba makubwa ya kifahari lakini hakai hata mtu mmoja wanayakimbia maana roho walizo zitoa huwarudia na kuanza kuwacharaza viboko usiku wa manane hapalaliki......
 
wanaitwa wapalestina hao nenda huko machame ukaone majumba makubwa ya kifahari lakini hakai hata mtu mmoja wanayakimbia maana roho walizo zitoa huwarudia na kuanza kuwacharaza viboko usiku wa manane hapalaliki......
Acha kuandika pumba....au ulete ushahidi wa mmoja aliyeua...aliyeuwawa...alivyouwawa na muuaji anavyopigwa vibao.
 
Mie huko siko bana, jaribu kuongea nao taratibu sio kila kitu tukatae au tukubaliane nao.....kumbuka wao ni wazazi
 
ila kilimanjaro kwa ujumla ni noma,hasa wanawake yan hajal mme wake wala ndugu,labda umbahatshe alyechanganya kabla,but hawafai.
 
Hapo inabidi uingie mitini kwa ''speed ya light'' au hata speed ya rocket ''escape velocity'',
na ukikimbia hapo hakuna tena kurudi wala kugeuka nyuma, ujifanye uko zama zile za nabii Luth ambapo ukigeuka nyuma unageuka jiwe la chumvi.
 
aisee.. hivi unapoamua kuoa unahitaji kwenda kuuliza kwa wazazi mpaka karne hii? huyo mke unamwolea baba yako/mama yako?

kama mnapendana kwa dhati oa mkuu mwisho wa siku ni wewe na yeye ndani
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom