Nisaidieni wataalamu

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
291
Nafanya installation ya window 7 kwenye laptop dell n4050,inachukua muda mrefu saaana,yaani hapa nshamaliza masaa 7,na bado inaendelea tu,hdd 500,ram 4,speed 2.3ghz,nifanyeje wakubwa?
 
M2 wangu window 7 huwa ni kubwa sana kwa hiyo may be your computer have no enough space.
 
Unatumia disk au usb kuinstall? Kama ni disc obviously hiyo disc itakuwa ni mbovu. Jaribu kutumia disc nyingine.
 
Haizidi saa moja installation, una uhakika inaendela bado? Itakuwa imegoma zamani, reset PC anza upya.
 
ina Windows gani hapo ilipo? kama ina windows 7 yeyote na unafanya Upgrade ya windows 7 basi hautafanikiwa, na pia cheki hiyo CD isiwe ina scratches sana...........:A S embarassed::A S embarassed:
 
Back
Top Bottom