Nisaidieni wapendwa,wanyaturu wana sifa gani nataka kuoa mnyaturu

Kama mmependana oaneni haya yanakuwa ni changamoto za ndoa. Hivi kuna makabila yaliotulia na sio MTU???
 
my fiance ni mnyaturu! Huyu mtoto katulia mpaka mimi naogopa kuwa its a bit too much! Binti gani hana tamanio, haniombi hela, hana mda na simu yangu, hajawahi pandisha hasira yani she is too calm and collected. Anajiamini mno bila hata kujitutumua chembe moja ni mnyenyekevu sana.
Na ni mzuri kwangu aliyepitiliza sababu hata nikiiba mechi za nje i hav to imagine her ili ni enjoy.
 
wanyaturu hawana tabu, ikiwa wewe ni mpiganaji wale ni wasikivu, wavumilivu na wanapenda, wanaowasema kuwa ni malaya nilitaka kujua wanaojiuza hapa dar es salaam ni wanyaturu????? hapana mambo mengine ni changamoto za kawaida,
mara nyingi migogoro ya ndoa husababishwa na sisi wanaume....Chukua jiko, ukimpata mnyaturu una uhakika kuzeeka ktk ndoa yako...nasema haya kwa sababu nawafahamu nimekulia unyaturuni, Mama Mnyaturu na Baba Kabila Lingine.
 
Wanapenda kuishi na ndugu zao nyumba moja. So ukioa jiandae kupokea shangazi, wadogo zake wote , bibi na kaka zake na wajomba pia.
Jiandae kula dagaa wawili kwa mchuzi debe maana mtakuwa wengi
 
Nilitongoza mmoja alinikubalia ndani ya dakika tu nikamgonga
Tatizo kubwa wengi sio waaminifu
 
my fiance ni mnyaturu! Huyu mtoto katulia mpaka mimi naogopa kuwa its a bit too much! Binti gani hana tamanio, haniombi hela, hana mda na simu yangu, hajawahi pandisha hasira yani she is too calm and collected. Anajiamini mno bila hata kujitutumua chembe moja ni mnyenyekevu sana.
Na ni mzuri kwangu aliyepitiliza sababu hata nikiiba mechi za nje i hav to imagine her ili ni enjoy.
Hahahahahaha!! Kilichonitokea miezi kadhaa baada ya hii post dah!!
Nimecheka sana kuiona miaka 7 baadae!!
Hahaha JF bhana!!
Ila kwa kifupi hizo mbegu ACHANA NAZO KABISA!! Especially kama wewe sio kabila moja nao.
Full stop!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom