Nisaidieni wanajamii

OGOPASANA

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
262
144
Habari zenu,
Nina mdogo wangu wa kiume ana miaka 14, ambaye amaemaliza darasa la saba mwaka huu katika moja za shule za msondo ngoma, na nimemchukua kutoka kwa wazazi ili nimsomeshe elimu bora kwa kadili ya uwezo wangu, so mwakani nategemea aanze form one, tatizo ni kwamba mtoto mwenyewe hakuwa anafanya vizuri alipokuwa shule kiasi kwamba hatoweza kupita mitihani ya majaribio (entrance examinations) ili aweze kupata nafasi ya kuanza form one hasa katika shule nzuri ambazo nilitaka asome kama Makongo, Aga Khan Mzizima, Feza nk..kwa sasa nimejaribu kumtafutia mwalimu ambrash japo masomo ya primary ili aweze kufanya hiyo mitihani lakini speed yake ya uelewa ni ndogo na mda ndo umeenda, tarehe za mitihani zimekaribia... Je nimtafutie shule gani nzuru hapa Dar Es Salaam (Day Time schools) ili aanze form one mwakani?
 
Back
Top Bottom