Nisaidieni wana CIA huyu mwanafunzi namba yangu kaitoa wapi

hawa watoto wako nyumbani kwao nahisi baadhi ya wazazi wanaleglize watoto kutumia simu wakiwa nyumbani
doesn't matter.wewe mkumbushe ikiwezekana muombe number ya wazazi wake then uwapigie uwaambie ukweli kuhusu mwanafunzi kumiliki simu even if ni nyumbani then mkanye huyo dogo final block her then pita hivi.labda kama una nia zako....
 
Kama unatumia Facebook kaipata fb kwenye profile yako. Kama unabisha weka jina unalotumia fb nikuwekee namba yako
 
Ila siku hizi Kuna uhaba wa wanaume, Kama unaona ni kero kwako na humuelewi mpige block, au mchimbe mkwara simple as that, masuala ya kumkomalia amepata wapi namba yako na ni mwanafunzi wako inaonyesha jinsi gani ni ulivyo bado-mtoto a.k.a mvulana
hawa watoto mkuu lazima uwakazie
 
Back
Top Bottom