Nisaidieni wana CIA huyu mwanafunzi namba yangu kaitoa wapi

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,587
1,136
Siku ya juma 3 kuna missed call iliingia kwenye simu yangu majira ya sa 3 asubuhi

Nikaituma sms akajibu ni mimi mwanafunzi nilikua nataka kujua kama upo hai Corona umesalimika. Swali la kwanza namba yangu umeitoa wapi akajibu kwani ni vibaya kua na namba yako.

Niliokota ofisini iliandikwa kwenye karatasi nikaichukua, sikuamuamini kesho yake kanitafuta tena nikambana aseme akajibu vile, binafsi sina kabisa mazoea na wanafunzi nikiwa shuleni, aliko mtandao unasumbua. Leo kasijili halotel na kanitumia sms mchana nilijua hata tuma.

Swali hadi sasa hivi najiuliza huyu mwanafunzi wa form 3 namba yangu kaitoa wapi? Sijawai andika namba yangu kokote pale ofisini. Kaacha najiuliza hadi Leo huyu mtoto namba kaitoa wapi, nimeona niliete kwenu najua kuna wazazi humu pia. Au mme shawano experience hali hii, nisipojibu sms mara ooh au mkeo kakukataza kujibu sms? Dah
 
Sisi kama wazazi tumeshapata picha wewe ni mwalimu wa aina gani, maana kuna walimu hata namba yake itokee tu iingie kwa simu yako kimiujiza walaqhi unaweza acha hata shule, sasa wewe mpaka msg unatumiwa..!?

Enwei, suala la kupata namba siyo muhimu, hebu kwa sasa tumia ile taaluma yako ya ualimu, mbona suala dogo hilo tu kutatua? Otherwise sisi wazazi tutawaza una nia ovu.!!
 
😂😂😂 ngoja wadau wakujibu , ila kwa hapo si ni mwanafunzi tu anakutakia hali mkuu au ww umewazaje?
 
Sasa ticher Ayo ya katoa wapi no. waachie wanawake,we Kula tu ila uki shikwa si hatumo

SUBIRI KIDOGO
 
Sisi kama wazazi tumeshapata picha wewe ni mwalimu wa aina gani, maana kuna walimu hata namba yake itokee tu iingie kwa simu yako kimiujiza walaqhi unaweza acha hata shule, sasa wewe mpaka msg unatumiwa..!?

Enwei, suala la kupata namba siyo muhimu, hebu kwa sasa tumia ile taaluma yako ya ualimu, mbona suala dogo hilo tu kutatua? Otherwise sisi wazazi tutawaza una nia ovu.!!
mkuu sina tatizo katika hilo shida huyu mtoto namba yangu kaitoa wapi kuna shule 1 private nilikua napiga kabla ya Corona
 
Mbona unashangaa huyo mwanafunzi kuwa na namba yako?...do you think you are that smart?,no,you are not kama undishi wenyewe ni wa mme badala ya mume,adi badala ya hadi,kua....
 
Sisi kama wazazi tumeshapata picha wewe ni mwalimu wa aina gani, maana kuna walimu hata namba yake itokee tu iingie kwa simu yako kimiujiza walaqhi unaweza acha hata shule, sasa wewe mpaka msg unatumiwa..!?

Enwei, suala la kupata namba siyo muhimu, hebu kwa sasa tumia ile taaluma yako ya ualimu, mbona suala dogo hilo tu kutatua? Otherwise sisi wazazi tutawaza una nia ovu.!!
Sio "Walaqhi" sahihi ni "Wallahi". Hiki ni kiapo.

Mara ya kwanza nilihisi ni kosa la kiandishi.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom