Kama hawajielewi endelea na maisha yako, hao ukute wanatambiana mitaani Nani atakuwa wa Kwanza kukunjunja🤣🤣🤣. ..afu watasimuliana jinsi show itavyokuwa😂😂😂Yap halafu wote hawajielewi
Imeisha hiyooToka hapo njiapanda chap
Yah!Sasa dada shida iko wapi nipe basi hiyo nafasi
HakunaHuyu wa kwanza nahisi kapiga mali na ndiyo maana hupo njia panda!!
😀
Hapana kwa maana nilimpenda josh kweli halafu nikamwomba namba hakutaka basi yule mwenzake alipoona nimeaibika akafunika akanipa namba mimi nikaanza nahusiano naye .Mbona kama wote umewaelewa hivi, ujui umkubali yupi na yupi umpotezee.
Nenda na yule unaemwelewa zaidi, na nahisi ni huyo anayesema yeye ndo muhusika
Maisha maraisi tu kama table ya kumi.Hapana kwa maana nilimpenda josh kweli halafu nikamwomba namba hakutaka basi yule mwenzake alipoona nimeaibika akafunika akanipa namba mimi nikaanza nahusiano naye .
Basi maisha ndio hivyooo.
Baadae eti yeye akaja na makeke ni mimi ndo muhusika wa nini?
Mbona nilikuomba namba ukanikatalia katu.
Sasa mie nimueleweje?
Hapo njia panda wataka kupasua nazi au yai?Wadau,
Katika pita pita zangu. Nilikutana na wanaume wawili. Sasa kati ya hao mmoja alinipatia mawasiliano.
Mawasiliano yakaanza na sasa unamiezi miwili. Huu watatu nikapokea namba ngeni kuuliza niyule kaka mwingine.
Anamadai kuwa yeye ndio mlengwa na sio yule mwingine. Kwa hiyo yule aliyenipatia mawasiliano alichukua tu ili ampatie yeyr baadaye.
Nakumbuka hiyo siku nilimwomba namba yake alikaata na sasa anadai yeye ndio mlengwa na sio huyo aliyenipatia mawasiliano.
Sasa niko njia panda nisaidieni.
VyoteeHapo njia panda wataka kupasua nazi au yai?
🤣 🤣 🤣 🤣Hapo njia panda wataka kupasua nazi au yai?