Nisaidieni ushauri namna ya kuaca ulevi wana JF

12 Marook

JF-Expert Member
Oct 31, 2018
441
329
Naam Habari za saa izi wana JF

Mi mwenenu baada ya kuaca u domo zege na kusaliti chama changu cha miaka mingi, nikamdondokea binti mmoja ivi ambae nlikuwa nampenda kabla ata sijatoka chaputa ila tatizo mtoto akaingiza gear yaku ni chuna zaidi ata ya buzi, kunila zaidi ata vile mchwa unavo kula mti, nilipoona nashindwa nikamwaga live channel five cha ajabu nashindwa kumsahau nakuwa tu wakujiliwaza na pombe yaani zaidi ya pierre wa liquid

Msaada wenu jamani nauwaitia na nau needia wa kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulewa siku 2 tatu kwa ajili ya Mapenzi sio ishu sana.

We kunywa utoe hasira zako zote.

Ukishindwa kuacha kulewa baada ya mwaka ndio uje tukushauri.

Sasa umeachwa, unataka ufanyeje zaid ya kulewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama chanzo cha kuanza pombe ni kujiliwaza baada ya kuachana na mwanamke wa vizinga basi hata solution yake inaweza kupatikana kupitia mwanamke

Tatizo upweke...tafuta mwanamke mwingine akuliwaze utaacha pombe taratibu
 
Nlishindwa ku handle kuchunwa everyday, haiwezekani mtu nimnunulie simu aiuze alafu aje eti nimnunulie ingine

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha

mpuuzi mpuuzi tu
 
Back
Top Bottom