Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,638
- 3,850
Hakika.....ya siku 30 kabisa akimaliza aunge pm2

Aiseee! Kaa chini utafakari mlipokutana mwanzo ilikuwaje na kadri mlivyoendelea uliendelea kuvifanya hivyo vitu, maana inawezekana kuna jambo ulilifanya na kumfanya apoteze upendo juu yakoWapendwa poleni na majukumu ya kujenga taifa.Niende kwenye hoja yangu ,Mimi ni mdada/mama mwenye mtoto 1,nimeolewa na ndoa ya kanisani
Mume wangu alifiwa na wazazi wote wawili kitambo sana,sasa upendo kwangu haupo najitahidi sana nimletee vizawadi nikitoka kazini,amekuwa ni mtu wa kulalamika kuwa yeye upendo wake ulishaondoka na wazazi wake ,kiujumla anasema wazazi wake wangekuwepo angeishi maisha ya furaha sana,eti anaona maisha yote ni ubatili.
Kuna siku moja alinambia anashangaa wanaume wanaowanunulia wake zao nguo au kuwasomesha watakuwa wapumbafu na wajinga,anajali zaidi mtoto wake ,kwakweli ni mtu wa hasira nikikosea kidogo ni kipigo na akiongea kugomba nanyamaza kimya,but yeye anafanya makosa makubwa namsamehe ,kwasababu ukimwambia kwa kumshauri anakuja juu.
Pili ni mbinafsi sana kiasi inapelekea uchoyo wa hali ya juu.Nasema hivi nilivoolewa mimi nilikuwa nawasaidia ndugu zake,niliwachukulia km ndugu zangu but nikaona mwenzangu kwetu hajali babaangu mzazi alilazwa wiki mbili nilikuwa natuma hela,yeye hata senti tano kwamba anisupport hata kupiga cm kumjulia hali mgonjwa hakuweza ,nilivolalamika akanambia nichukulie jinsi nilivo univumilie ndivo nilivo.
Ila nami nachoka ,yeye ni mwajiriwa ana kipato kikubwa zaidi yang.Nisaidieni kwa mawazo naona maisha ya ndoa magumu sana.
Ht mm nisingemlipa hiyo hela, yaan angedai mpk angekoma.Kwakweli nimeshangaa,mwanaume ni mchoyooo balaa,uwiiiii
Ila mi nigemfurahisha,hiyo samaki tungekula wote,na hela aliyonisonesha nisingempa!
Halafu ningempotezea
Abuse ina aina nyingikuna aina za abuse binadamu anaweza kuvumilia ila sio kupigwa. maneno hayaui ila ngumi zina athari kubwa. kuna mama na mtoto wake huku mtaani wapo kama watu wenye ulemavu wa akili kwa sababu baba alikua anawapiga kila kukicha. jamaa mtu mzima tu na smart kweli ila ukimwangalia unaona kabisa hayuko sawa.. physical violence ina madhara makubwa sana.
Jamii inapenda kusema watu vibaya hasa wanawakeNimekerekwa hatari. Sema jamani kutoka kwenye ndoa ni ngumuuu unawaza macho ya watu mtaani,watoto n.k
Wapendwa poleni na majukumu ya kujenga taifa.Niende kwenye hoja yangu ,Mimi ni mdada/mama mwenye mtoto 1,nimeolewa na ndoa ya kanisani
Mume wangu alifiwa na wazazi wote wawili kitambo sana,sasa upendo kwangu haupo najitahidi sana nimletee vizawadi nikitoka kazini,amekuwa ni mtu wa kulalamika kuwa yeye upendo wake ulishaondoka na wazazi wake ,kiujumla anasema wazazi wake wangekuwepo angeishi maisha ya furaha sana,eti anaona maisha yote ni ubatili.
Kuna siku moja alinambia anashangaa wanaume wanaowanunulia wake zao nguo au kuwasomesha watakuwa wapumbafu na wajinga,anajali zaidi mtoto wake ,kwakweli ni mtu wa hasira nikikosea kidogo ni kipigo na akiongea kugomba nanyamaza kimya,but yeye anafanya makosa makubwa namsamehe ,kwasababu ukimwambia kwa kumshauri anakuja juu.
Pili ni mbinafsi sana kiasi inapelekea uchoyo wa hali ya juu.Nasema hivi nilivoolewa mimi nilikuwa nawasaidia ndugu zake,niliwachukulia km ndugu zangu but nikaona mwenzangu kwetu hajali babaangu mzazi alilazwa wiki mbili nilikuwa natuma hela,yeye hata senti tano kwamba anisupport hata kupiga cm kumjulia hali mgonjwa hakuweza ,nilivolalamika akanambia nichukulie jinsi nilivo univumilie ndivo nilivo.
Ila nami nachoka ,yeye ni mwajiriwa ana kipato kikubwa zaidi yang.Nisaidieni kwa mawazo naona maisha ya ndoa magumu sana.
Kipindi nimefunga ndoa siku hiyo usiku ,alinambia nimekuoa but wasichana was nje siwezi waacha ,but kipindi cha a mwanzo nimepata Shida sana ,nikawaona wasimamuzi wangu wa ndoa wakamshauri akapunguza but nilimshakamata kalala na binti wa kazi ndani,nikamwambia naomba tuachane hapo mtoto akiwa na miaka 3 ,akanibembembeleza sana,akaomba msamaha yakaisha,but kuna kipindi akawa anatongoza mabinti ,nikasema sasa inabidi tuachane ,akalia sana akasema umeona coz wazazi wangu wamefariki ndo unataka kuniacha sawa,huruma ikaniingia tukayamaliza ,kwa sasa naona ametulia hata Kanisani anahudhuria vizuri tu
Haswaaaa....Kwa Dada Colle huku.
Mke humuandai wewe baba la baba mke anaandaliwa huko na wazazi wake....Kwanza mke wangu sijamuandaa kuwa mwajiriwa, atasimamia biashara tu.Waajiriwa wawili kwenye familia Ni tatizo tayari
Anahitaji kupata ushauri kwa mwanasaikolojiaWapendwa poleni na majukumu ya kujenga taifa.Niende kwenye hoja yangu ,Mimi ni mdada/mama mwenye mtoto 1,nimeolewa na ndoa ya kanisani
Mume wangu alifiwa na wazazi wote wawili kitambo sana,sasa upendo kwangu haupo najitahidi sana nimletee vizawadi nikitoka kazini,amekuwa ni mtu wa kulalamika kuwa yeye upendo wake ulishaondoka na wazazi wake ,kiujumla anasema wazazi wake wangekuwepo angeishi maisha ya furaha sana,eti anaona maisha yote ni ubatili.
Kuna siku moja alinambia anashangaa wanaume wanaowanunulia wake zao nguo au kuwasomesha watakuwa wapumbafu na wajinga,anajali zaidi mtoto wake ,kwakweli ni mtu wa hasira nikikosea kidogo ni kipigo na akiongea kugomba nanyamaza kimya,but yeye anafanya makosa makubwa namsamehe ,kwasababu ukimwambia kwa kumshauri anakuja juu.
Pili ni mbinafsi sana kiasi inapelekea uchoyo wa hali ya juu.Nasema hivi nilivoolewa mimi nilikuwa nawasaidia ndugu zake,niliwachukulia km ndugu zangu but nikaona mwenzangu kwetu hajali babaangu mzazi alilazwa wiki mbili nilikuwa natuma hela,yeye hata senti tano kwamba anisupport hata kupiga cm kumjulia hali mgonjwa hakuweza ,nilivolalamika akanambia nichukulie jinsi nilivo univumilie ndivo nilivo.
Ila nami nachoka ,yeye ni mwajiriwa ana kipato kikubwa zaidi yang.Nisaidieni kwa mawazo naona maisha ya ndoa magumu sana.
Na saa nyingine baadhi ya makanisa huko ndo Kuna umbea utajikuta story zako wanazo waumini...... Mamiii mlilie Mungu kajiunge na prayer marathon kabla it's too late yaan uyo mume mbona utashangaa kajiunge embu Mimi nasubiri ushuhuda wako kabla huu mwaka haujaishaAmen Mpendwa barikiwa kwa ushauri ,nitaangalia namna ya kuufamyia kazi,but sikupenda kanisani wajue kwasababu mimi ni mwenyekiti wa akina mama kanisani ,kuna vitu sitaki wajue kabisa
Chiiiiisas..... Uyu mwanaume jamaniiiHiyo hali ya maneno machafu na matusi ndo mimi binafsi huwa yananiumiza nikikumbuka but kipigo kanipiga mpaka na kisu but maumivu yake siyafeel kama matusi mpaka anakutukania wazazi ,mfano nilimwambia kwa nini unatoka nje ya ndoa ,akanambia kamuulize mamaako kwanini babako ana...mba nje ,akikupa jibu uje unambie ,yaani roho inaniumaga sana,nikamwambia naomba uwe unanitukana mimi ,usiwaaingize wazazi wangu
Weeeeeeh weeeeeeh unaweza ukapigwa ukaulizwa kipande Kiko wapiNa mimi napasha halafu nakuletea hivyo hivyo thubutu
Weeeeeeh weeeeeeh unaweza ukapigwa ukaulizwa kipande Kiko wapi
Pole sana ndg.
Kabla ya kuingia ndoani ni vyema kumchunguza mwenzio kipindi chote cha mahusiano, ukiona ana vijitabia vya ajabu ajabu afadhari kujiweka pembeni mapema kabla ya kujitwisha zigo la misumari..
Bila shaka kuna baadhi ya tabia zake uliziona mapema kabla ya ndoa ila ukajifariji kuwa atabadilika, tabia ni kama ngozi, kila siku utakuwa ni mtu wa kuombwa misamaha tu.