miss_mbeya
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 1,073
- 1,021
- Thread starter
- #121
Sio wa Dar,ni mwenyeji wa TukuyuHuyo mwanaume ni Mpumbavu
Anacheza na shiling kwenye tundu la choo
Atakuwa mwanaume wa dar huyo
Ndiyo tabia zao View attachment 1125874
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wa Dar,ni mwenyeji wa TukuyuHuyo mwanaume ni Mpumbavu
Anacheza na shiling kwenye tundu la choo
Atakuwa mwanaume wa dar huyo
Ndiyo tabia zao View attachment 1125874
Uchoyo nimeona hata dada zake wako hivo nafikiri ni trait ya kuridhiHuyo mumeo nahisi anatumia swala LA kufiwa na wazazi wake kama excuse tu..ila nahis kuna mambo kati ya haya
1) Ana asili ya uchoyo/ ni tabia yake
2)Alishawahi kumpenda mdada, lakini akaishiwa kuchunwa pesa nyingi na papuchi hakupata..so maumivu ya kupendewa pesa na kuchunwa bado anayo miss_mbeya
Ahsante mpendwa
Hapana mpendwaUpo mbeya?
Amen dear nashukuru kwa ushauriHyo hata kama n utoto umezid utadhan ndo wa kwanza kufiwa na vip akiwa na kisiran ndo watchful
Ashanti
1.anza kumpotezea,akiwa na kisiran jifanye kama vile hujal,akae na kisiran chake kiishe kisiishe Altamont
2.kuwa mwanamke sasa mahitaj ambayo hayakuhusu mfano umeme,kodi au ada na hata chakula usiyafanye kama umeme ukiisha mlale giza,hajaacha hela ya chakula pika chako kula lala kiufup asikute Chaka
Kataa kupigwa kisiran chake apeleke kwa boss wake kama n mzur wa ngum akapigane na wenzake mpe warning kwamba siku akikupiga hata kofi ataenda kujieleza polish
4 punguza ikiwezekana acha kabisa kumletea zawad hzo ambazo huwa unamletea instead jinunulie zawad unayoipenda,ukiweza siku za weekend toka out na mwanao ye hata usimuulze kiufup mpotezee utaona mabadiliko anaeza akahis unachepuka narudia yaan jifanye kama husikii anayoyaongea
Ahsante dearMamiii unajua huduma ya anointed room??? Em ngoja nikushirikishe hili.... Hakuna linalomshinda Mungu.... Ingia insta au fb search anointed room au nenda u tube search uone masomo yao naamini yatakujenga... Na Kama utaweza jiunge na prayer marathon ukienda hizo pages nilizokuelekeza utapata maelekezo..... Kama hujaelewa Ni pm ntakuelewesha zaidi.... Sio kitu Cha kulipia hela kwamba utatapeliwa noo dear ingie huko then thank me latet
Angalia usiwe kama MAMA DAVIS wa cocochanel na Naipenda Jumatano Yangu yake. Nakuhurumia maana Mama Karisa anakaribia kukutafutia Fadhili akufadhili. Ndiyo akufadhili Ub.oo, Mahaba na Fwedha.Wapendwa poleni na majukumu ya kujenga taifa.Niende kwenye hoja yangu ,Mimi ni mdada/mama mwenye mtoto 1,nimeolewa na ndoa ya kanisani .Mume wangu alifiwa na wazazi wote wawili kitambo sana,sasa upendo kwangu haupo najitahidi sana nimletee vizawadi nikitoka kazini,amekuwa ni mtu wa kulalamika kuwa yeye upendo wake ulishaondoka na wazazi wake ,kiujumla anasema wazazi wake wangekuwepo angeishi maisha ya furaha sana,eti anaona maisha yote ni ubatili.kuna siku moja alinambia anashangaa wanaume wanaowanunulia wake zao nguo au kuwasomesha watakuwa wapumbafu na wajinga,anajali zaidi mtoto wake ,kwakweli ni mtu wa hasira nikikosea kidogo ni kipigo na akiongea kugomba nanyamaza kimya,but yeye anafanya makosa makubwa namsamehe ,kwasababu ukimwambia kwa kumshauri anakuja juu.Pili ni mbinafsi sana kiasi inapelekea uchoyo wa hali ya juu.Nasema hivi nilivoolewa mimi nilikuwa nawasaidia ndugu zake,niliwachukulia km ndugu zangu but nikaona mwenzangu kwetu hajali babaangu mzazi alilazwa wiki mbili nilikuwa natuma hela,yeye hata senti tano kwamba anisupport hata kupiga cm kumjulia hali mgonjwa hakuweza ,nilivolalamika akanambia nichukulie jinsi nilivo univumilie ndivo nilivo.Ila nami nachoka ,yeye ni mwajiriwa ana kipato kikubwa zaidi yang.Nisaidieni kwa mawazo naona maisha ya ndoa magumu sana
Hapana kiufupi hata baadhi ya baba zake wakubwa kwa wadogo wana hizo tabia,watatu walishaachana na wake zao wa mwanzo ,mmoja nilimkuta wakati naolewa alinisimulia mengi sana akasema ukoo wao yaani wa mume wake ( ambae mimi ni baba mkwe wangu mdogo) akasema wana roho ya kikatili baba yake alishamuuaga mke wake wa kwanza kwa kumpiga na kamche ka kutwangia karanga yaani yaani babuAngalia kuna uwezekano amekosa imani na wewe labda ulimsaliti au kuna viashiria vya usaliti au labda wewe ni kiburi ama ulionesha dharau na kutomuheshimu. Kama kipo kimojawapo wanaume tunapoteza upendo kwa mwanamke
Angalia usiwe kama MAMA DAVIS wa cocochanel na Naipenda Jumatano Yangu yake. Nakuhurumia maana Mama Karisa anakaribia kukutafutia Fadhili akufadhili. Ndiyo akufadhili Ub.oo, Mahaba na Fwedha.
Nimesema!
Bazazi
Ahsante mpenzi nitaifuatilia uweenda inaweza nisaidia kwa kiasi fulaniNgoja nimpatie link akasome ushauri wa Tilda anaompa mama Davis
Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano
Salamu kwenu wote Eid Mubarak Leo sikukuu tena, hakuna kulala usiku/asubuhi hii nipo natoka Msondo Ngoma. Inasumuliwa na Irene Mbowe. (Inaanzia sehemu ya kwanza na kuendelea, fatilia uhondo moto moto. Jadili hadi uchoke kumekucha. ******************************** SHUHUDA NAIPENDA JUMAMOSI...www.jamiiforums.com
Nimesoma post yake moja miss_mbeya anajitetea hadi kutumia mifano ya ndugu ambao yao ni yao na yake yaweza kuwa tofauti nao kabisa. Aibu sana mwanamke kuishi kukaribisha au kusala udaku kwa kukaribisha nguvu za giza mwenyewe.. huyu hajitambui kwa sasa.. anaweka watu mbele na labda mchepuko kuliko yeye na mwenza na mtoto na furaha yao..
Daaah Pole Sana mamiiSio wa Dar,ni mwenyeji wa Tukuyu
Ahsante mpenzi nitaifuatilia uweenda inaweza nisaidia kwa kiasi fulani
Amen dear nimekuelewaTutag kutupa mrejesho.
Kila la kheri.. muhimu hapo ulipo acha kufikiria hao hao wasio wewe na mumeo.. anza kutulia na kuongea na kuomba na Mwenyezi Mungu.
Usikimbilie kwa watu.. tulia endelea n.k.
Daah mumeo mbinafsi sana miss, lakini haya yote hukuyajua kipindi cha uchumba?Nashukuru dear kwa ushauri ingawa ni mama kijacho ,yaani kazini walikataa kunilipia masomo ya master ,ada ilikuwa milioni kama milioni kumi na tano hivi pamoja na research nililipa kama milioni 13,000,000 hivi sasa ikabaki milioni 3 nikamwomba akakataa kunipa ikabidi nikamkopa coz bank nilikuwa najua ana sh.ngapi akanipa baada ya miezi 3 alikuwa ananidai mpaka nikitoka kazini nakosa raha ya kurudi Nyumbani ,ikabidi niingie bank nikope nimrudishie ndo tukawa na amani but roho inaniuma coz kaenda kuweka bank,
No kipindi tupo uchumba hakuwa anaonyesha hizo tabia,tulipofunga ndoa baada ya miezi kadhaa ndo nikawa nashangaa baadhi ya tabia ,mfano anaweza kufunga samaki mzima sato kama kulikuwa na kifunction kazini ,but akija nampashia kwa oven anakula pekee yake anamaliza namwangalia ,
Aisee sina nia mbaya ila tu kwa ustawi wako wa akili na afya ningependa tu ikibidi umteme tu huyo jamaa kama unajimudu.No kipindi tupo uchumba hakuwa anaonyesha hizo tabia,tulipofunga ndoa baada ya miezi kadhaa ndo nikawa nashangaa baadhi ya tabia ,mfano anaweza kufunga samaki mzima sato kama kulikuwa na kifunction kazini ,but akija nampashia kwa oven anakula pekee yake anamaliza namwangalia ,