Nisaidieni, upendo unapungua kwa mume wangu

Nashukuru dear kwa ushauri ingawa ni mama kijacho ,yaani kazini walikataa kunilipia masomo ya master ,ada ilikuwa milioni kama milioni kumi na tano hivi pamoja na research nililipa kama milioni 13,000,000 hivi sasa ikabaki milioni 3 nikamwomba akakataa kunipa ikabidi nikamkopa coz bank nilikuwa najua ana sh.ngapi akanipa baada ya miezi 3 alikuwa ananidai mpaka nikitoka kazini nakosa raha ya kurudi Nyumbani ,ikabidi niingie bank nikope nimrudishie ndo tukawa na amani but roho inaniuma coz kaenda kuweka bank,
Hongera kwa ndoa.
 
Dada, angu nakushauri usimuache, hakuna mtu asieweza kubadirika, nakushauri ijumaa ya kila wiki ikifika funga maombi, afu baada ya chakula cha jioni uwe na tabia ya kuomba nae, na kuna baadhi ya siku umwambie unamuombea yeye, Mungu amsaidie.. Unataja mahitaji yoote, epuka kuona mahitaji ya upande mmoja, taja na ya kwako...

NB: Mungu ni pendo, akimpenda Mungu na akapenda maombi atakupenda tu, lkn asipotaka maombi ndani ujue shetani kaingia katika familia yako, kazi itakua sio kumuombea mumeo tena bali ni kupambana na shetani. Mungu akusaidie.
Amina my Mpendwa ,barikiwa kwa ushauri wa kunitia moyo
 
Mpaka Sasa Hivi Inaonekana Maji Yamezidi Unga
Utavumilia Nini Hapo, Anza Kujiongeza Taratibu
Maana Hali Siyo Shwari
 
Wewe na mumeo hamjui maana ya ndoa, pole
Nashukuru dear kwa ushauri ingawa ni mama kijacho ,yaani kazini walikataa kunilipia masomo ya master ,ada ilikuwa milioni kama milioni kumi na tano hivi pamoja na research nililipa kama milioni 13,000,000 hivi sasa ikabaki milioni 3 nikamwomba akakataa kunipa ikabidi nikamkopa coz bank nilikuwa najua ana sh.ngapi akanipa baada ya miezi 3 alikuwa ananidai mpaka nikitoka kazini nakosa raha ya kurudi Nyumbani ,ikabidi niingie bank nikope nimrudishie ndo tukawa na amani but roho inaniuma coz kaenda kuweka bank,
 
mumeo ni mmoja wa wale wanaume selfish,uamuzi ni wako kukaa nae au kuachana nae.....mie nakushauri uachane nae bado mapema ukiamua kubaki ujue unatoa sadaka furaha yako...na utabaki miserable for the rest of your life........................

Kuhusu wazazi,nahisi hakupata muda mzuri wa kukubali wamekufa(grieving period)...saa zote ana feel guilty and puzzled kuhusu kifo chao...au anaona wamekufa mapema kabla hajawahudumia kama zawadi ya kumlea......

kwa kifupi ameyabeba mengi kifuani,ndio maana ukimuudhi kidogo ana snap,dada huyo ni bomu...ondoka kabla hujazaa mtoto wa pili na watatu halafu ushindwe ku move on.
Huu ushauri ushindwe kwajina layesu
 
Nashukuru dear kwa ushauri ingawa ni mama kijacho ,yaani kazini walikataa kunilipia masomo ya master ,ada ilikuwa milioni kama milioni kumi na tano hivi pamoja na research nililipa kama milioni 13,000,000 hivi sasa ikabaki milioni 3 nikamwomba akakataa kunipa ikabidi nikamkopa coz bank nilikuwa najua ana sh.ngapi akanipa baada ya miezi 3 alikuwa ananidai mpaka nikitoka kazini nakosa raha ya kurudi Nyumbani ,ikabidi niingie bank nikope nimrudishie ndo tukawa na amani but roho inaniuma coz kaenda kuweka bank,
Duh mazito haya aiseeee
 
No kipindi tupo uchumba hakuwa anaonyesha hizo tabia,tulipofunga ndoa baada ya miezi kadhaa ndo nikawa nashangaa baadhi ya tabia ,mfano anaweza kufunga samaki mzima sato kama kulikuwa na kifunction kazini ,but akija nampashia kwa oven anakula pekee yake anamaliza namwangalia ,
Duh huyu sijui kabila gani aiseeee
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom