Nisaidieni, upendo unapungua kwa mume wangu

Hongera kwa mama kijacho,

Naona kwako huwezi kujiondoa kwenye huo uhusiano...

i guess mambo mengine ungemshirikisha ndugu yake anayemheshimu sana...

aongee nae...

Itakusaidia kuyatoa kifuani kwako ambayo itakusaidia kurelease tension...

Honestly sioni akibadilika,kwa hio inabidi umchukulie hivyo hivyo
Thanx dear
 
No kipindi tupo uchumba hakuwa anaonyesha hizo tabia,tulipofunga ndoa baada ya miezi kadhaa ndo nikawa nashangaa baadhi ya tabia ,mfano anaweza kufunga samaki mzima sato kama kulikuwa na kifunction kazini ,but akija nampashia kwa oven anakula pekee yake anamaliza namwangalia ,

Ni sawa na kusema baada ya ndoa machungu yakufiwa na wazazi yakaja tena yakiwa makali sana? Ndo na mwanzo wa upendo kupoa kama sio kuisha kabisa?
 
No kipindi tupo uchumba hakuwa anaonyesha hizo tabia,tulipofunga ndoa baada ya miezi kadhaa ndo nikawa nashangaa baadhi ya tabia ,mfano anaweza kufunga samaki mzima sato kama kulikuwa na kifunction kazini ,but akija nampashia kwa oven anakula pekee yake anamaliza namwangalia ,
 
hata zile outing za hapa na pale au ule umoja mnapokuwa wala hukuwahi kuona utofauti,
Hatuna outing dear tangu nimeolewa .Tunafanyakazi mjini si mbali sana na ofisini kwao naweza nikampigia mchana twende tukale nikupe ofa(namtania kidogo) anaona eti nachezea pesa ,sina art ya kutunza pesa.
 
No kipindi tupo uchumba hakuwa anaonyesha hizo tabia,tulipofunga ndoa baada ya miezi kadhaa ndo nikawa nashangaa baadhi ya tabia ,mfano anaweza kufunga samaki mzima sato kama kulikuwa na kifunction kazini ,but akija nampashia kwa oven anakula pekee yake anamaliza namwangalia ,
nimecheka kama mazuri, pole ndo mzigo wako huo muombeage tu Mungu ambabilishe.
 
Dada, angu nakushauri usimuache, hakuna mtu asieweza kubadirika, nakushauri ijumaa ya kila wiki ikifika funga maombi, afu baada ya chakula cha jioni uwe na tabia ya kuomba nae, na kuna baadhi ya siku umwambie unamuombea yeye, Mungu amsaidie.. Unataja mahitaji yoote, epuka kuona mahitaji ya upande mmoja, taja na ya kwako...

NB: Mungu ni pendo, akimpenda Mungu na akapenda maombi atakupenda tu, lkn asipotaka maombi ndani ujue shetani kaingia katika familia yako, kazi itakua sio kumuombea mumeo tena bali ni kupambana na shetani. Mungu akusaidie.
 
Back
Top Bottom