Black Book
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 228
- 205
Asanteni wakuu
Nendeni hospital nyote wawili, unaweza kuta tatizo ni wewe na siyo yeye.
Ila kukuibia siri mkuu, ungeenda alone kwanza hospital.
Poleni sana, nikupongeze kwa kuandika kwa utaratibu ulio mzuri, maana yake umesoma vzr,Habari wataalamu.
Ni mwaka mmoja na nusu sasa tunajaribu sana kupata mtoto mimi na msichana wangu lakini haiwezekani.
Kulingana na maelezo yake aliwahi kusumbuliwa sana na tatizo la chango la uzazi naamini hakupata matibabu yanayostahili
Nimemtoa usichana wake mimi ila Siku zake za period zinabadilika sana na hua anapata maumivu makali ya tumbo wakati akikaribia katika period. Tumejaribu sana kuhesebu mzunguko na kukutana siku za hatari kwa muda mrefu sana lakini hatujafanikiwa.
Mwaka jana mwishoni kuna mzizi tuliagizwa kua ni msaada amejaribu kuchemsha na kunywa week nzima kabla ya siku za hatari lakini bado. Natamani sasa kwenda hospitali kwa ushauri zaidi wa kitaalamu ila nimeona nianzie hapa jungu kuu lazima nitaondoka na chochote.
Ni kipindi kigumu naona mwenzangu amenza kukata tamaa.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Ahsanteni sana kwa kila msaada.
Relax atapata mtt wakat mwngne mkiwa na stress za kutafuta utashangaa mwaka unakata lakn zaidi na zaidi mtafuteni Mungu kwanza maana yeye ndo mtoaji wa watt
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto Ni zawad kutoka kwa Mungu
Mungu hutoa kwa wakati wake
Pia nendeni hospitali
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana, nikupongeze kwa kuandika kwa utaratibu ulio mzuri, maana yake umesoma vzr,
Kwa hiyo elimu yako nashangaa tena kuongelea "Chango la uzazi" ? ?
Pili bado nashangaa kuchemsha mizizi na kunywa kama matibabu na bado hujafika Hospitali ? ?
Lingine linalonishangaza mnatafuta uzazi wewe na mchumba wako ? ? nani huyo akupe mwanae uchezee ubikiri tena uzalishe bado ni mchumba tuu ? akishazaa ndipo ataitwa mke ? ?
Naamini ukishatoa mahari wazazi wake wakatoa Baraka zao hutahitaji tena mizizi yako hiyo maana Mungu atawasimamia.
Utakuwa unaishi Tanzania ya wapi wewe ? kumbe hii nchi bado tuko nyuma sana. bila shaka huko uliko ndio bado mnampigia kura nyerere akiendelea kuongoza.
USHAURI WANGU : 1. Toa mahari awe mke wako halali
2. Nenda Hospitali haraka sana
Pamoja na michango ya wengine, kama siku zake hazina mpangilio maalum inabidi mjaribu kila mnapoweza na sio tu kwenye siku mnazodhani ni hatari.Habari wataalamu.
Ni mwaka mmoja na nusu sasa tunajaribu sana kupata mtoto mimi na msichana wangu lakini haiwezekani.
Kulingana na maelezo yake aliwahi kusumbuliwa sana na tatizo la chango la uzazi naamini hakupata matibabu yanayostahili
Nimemtoa usichana wake mimi ila Siku zake za period zinabadilika sana na hua anapata maumivu makali ya tumbo wakati akikaribia katika period. Tumejaribu sana kuhesebu mzunguko na kukutana siku za hatari kwa muda mrefu sana lakini hatujafanikiwa.
Mwaka jana mwishoni kuna mzizi tuliagizwa kua ni msaada amejaribu kuchemsha na kunywa week nzima kabla ya siku za hatari lakini bado. Natamani sasa kwenda hospitali kwa ushauri zaidi wa kitaalamu ila nimeona nianzie hapa jungu kuu lazima nitaondoka na chochote.
Ni kipindi kigumu naona mwenzangu amenza kukata tamaa.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Ahsanteni sana kwa kila msaada.
Wewe Endelea Kula Mzigo tu majibu yatajileta