Jiwejeusi
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 754
- 131
Nina nokia e90, kila ninapoweka line ya voda, simu haikamati mtandao lakini mitandao ya tigo, airtel na zantel inakamata vizuri tu. Nilijaribu hata kurestore phone setting lakini lain ya voda inakataa kushka network. Then siwezi hata kutumia line ya voda. Kwa anayejua ufumbuzi wa tatizo hili naomba anisaidie.