Ninahonga pakubwa sana, nakula padogo. Hii hali inanitesa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,507
23,708
Sisi wanaume πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜” tunahitaji kuonewa huruma na pia kuombewa sana. Imagine natoka nyumbani kwa mama chausiku. Naenda zangu kilingeni kupiga kazi. Huko napata 5000 kwa mbinde sana. Baada ya kubeba mizigo siku nzima.

Kinachoniumiza napata hiyo 5000 nahonga 4000 nakula 1000. Home watoto wameshindia uji wa chumvi tu.mchepuko anakula chips nahonga pakubwa nakula padogo.

Roho huwa inaniuma sana naporudi home nina 800 maana 200 nlinunulia mihogo.lakini kesho tena inanitokea hivyo hivyo.najiuliza kwa nini nahonga pakubwa nakula padogo?

Nisaidieni mabaharia...nifanyeje hapo.

Baba Chau.

Kwa hisani ya Wamwiduka
 
Mkuu,baharia gani anakua mzembe kiasi hicho.....
Hamna namna endelea kupigika,hiyo ni laana ya watoto wako wanaoshindia uji wa chumvi....
 
Iyo nyimbo kaimba nani mkuu ??
Anasema
unapata elfu moja unakula miatatu,
unahonga miasaba we unakula padogo
 
Sisi wanaume tunahitaji kuonewa huruma na pia kuombewa sana. Imagine natoka nyumbani kwa mama chausiku. Naenda zangu kilingeni kupiga kazi. Huko napata 5000 kwa mbinde sana. Baada ya kubeba mizigo siku nzima.

Kinachoniumiza napata hiyo 5000 nahonga 4000 nakula 1000. Home watoto wameshindia uji wa chumvi tu.mchepuko anakula chips.nahonga pakubwa nakula padogo.

Roho huwa inaniuma sana naporudi home nina 800 maana 200 nlinunulia mihogo.lakini kesho tena inanitokea hivyo hivyo.najiuliza kwa nini nahonga pakubwa nakula padogo?

Nisaidieni mabaharia...nifanyeje hapo.

Baba Chau.
Wewe ni baharia feki
1568235927928.jpeg
 
Achana na UPUUZI wa kujiita baharia labda akili itarudi kichwani.

Sisi wanaume πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜” tunahitaji kuonewa huruma na pia kuombewa sana. Imagine natoka nyumbani kwa mama chausiku. Naenda zangu kilingeni kupiga kazi. Huko napata 5000 kwa mbinde sana. Baada ya kubeba mizigo siku nzima.

Kinachoniumiza napata hiyo 5000 nahonga 4000 nakula 1000. Home watoto wameshindia uji wa chumvi tu.mchepuko anakula chips.nahonga pakubwa nakula padogo.

Roho huwa inaniuma sana naporudi home nina 800 maana 200 nlinunulia mihogo.lakini kesho tena inanitokea hivyo hivyo.najiuliza kwa nini nahonga pakubwa nakula padogo?

Nisaidieni mabaharia...nifanyeje hapo.

Baba Chau.
 
Sisi wanaume πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜” tunahitaji kuonewa huruma na pia kuombewa sana. Imagine natoka nyumbani kwa mama chausiku. Naenda zangu kilingeni kupiga kazi. Huko napata 5000 kwa mbinde sana. Baada ya kubeba mizigo siku nzima.

Kinachoniumiza napata hiyo 5000 nahonga 4000 nakula 1000. Home watoto wameshindia uji wa chumvi tu.mchepuko anakula chips.nahonga pakubwa nakula padogo.

Roho huwa inaniuma sana naporudi home nina 800 maana 200 nlinunulia mihogo.lakini kesho tena inanitokea hivyo hivyo.najiuliza kwa nini nahonga pakubwa nakula padogo?

Nisaidieni mabaharia...nifanyeje hapo.

Baba Chau.

Kwa hisani ya Wamwiduka
Nipe namba zao hao mademu, wewe hauna hela
 
"Ukiona unatumia nguvu nyingi kufanya kitu , ujuwe fika kuna pahala unakosea parekebishe kwanza alafu endelea mbele" mwakyoma saint richard once sayed.
Mkuu hayo mahusiano achana nayo haraka , mapenzi ni kuhurumiana izo nguvu zote unamfanyia nani?
 
Sisi wanaume πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜” tunahitaji kuonewa huruma na pia kuombewa sana. Imagine natoka nyumbani kwa mama chausiku. Naenda zangu kilingeni kupiga kazi. Huko napata 5000 kwa mbinde sana. Baada ya kubeba mizigo siku nzima.

Kinachoniumiza napata hiyo 5000 nahonga 4000 nakula 1000. Home watoto wameshindia uji wa chumvi tu.mchepuko anakula chips.nahonga pakubwa nakula padogo.

Roho huwa inaniuma sana naporudi home nina 800 maana 200 nlinunulia mihogo.lakini kesho tena inanitokea hivyo hivyo.najiuliza kwa nini nahonga pakubwa nakula padogo?

Nisaidieni mabaharia...nifanyeje hapo.

Baba Chau.

Kwa hisani ya Wamwiduka
Hiyo kawaida sanaaa kwa wanaume wala usiumize kichwa.....mwanamke kwa demu nikama mfupa kwa fisi au mbwa kwa chatu
 
Back
Top Bottom